nguo

  1. Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  2. Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  3. M

    Nahitaji fundi wa kushona nguo

    Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo; 1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu 2. Kazi inafanyika KIMARA DSM 3. Nahitaji...
  4. Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

    Hili vazi la kijora ambalo huwa linazungumziwa sana na waswahili na watu wa pwani ni vazi la aina gani? Kijora kina utofauti gani na vazi la dera? Kijora kinavaliwa na watu wa aina gani zaidi?
  5. Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

    mimi siwezi kuvaa nguo ya njano rangi ya njano hapana naona kama ni rangi ya wagogo hii 🤗 weww kwako ni ipi wagogo ni watani zangu
  6. B

    Nafua nguo Dodoma

    Kuna mdada yupo Mipango Dodoma, kama kuna mtu anaehitaj kufuliwa siku ya leo ndani ya Dodoma mjini, sharti nguo na kila unamtolea nje na hamna extra service. naenda mahali mteja alipo namba 0697629019 mwenye uhitaj anitafute plz
  7. Wadada wembamba vaeni cargo, msiache hii trend iwapite!

    Wadada, wembamba! Jitahidi kwenye kabati lako usikose cargo pants moja au mbili, mkivaa zinawapendeza sana. Ukijua kuipatia na shirt au jersey na chini raba mnapendeza kinoma. Kama una girlfriend mwembamba msuprise cargo one time, atafurahi. Kama kitovu kizuri unaweza kionesha kinanoga na...
  8. M

    Nimemnunulia mama yangu mzazi zawadi ya nguo Mke atokwa na maneno makali ya dharau

    Habar wakuu huyu mke nimfanyaje nimetoka kumnunulia nguo mama yangu mzazi kama zawad na mke nae nilimnulia..Sasa chaa ajabu ametokwa na maneno ya dharau nakejeli juu ya zawad niliomnunulia mama. Baada ya nguo aliyotaka nyingine kumwambia aachane naye yakamtoka maneno mengi hali yakuwa yeye...
  9. Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  10. M

    Ogopa sana binti wa namna hii: Ukimfikisha gesti anavua nguo zote na kuvaa taulo

    Ukiona hivyo tu tambua huyo ni mzoefu wa kuvushwa. Kama huna kondomu aihirisha kupiga. Muombe samahani kila mtu ale kona.
  11. Changamoto wakutanazo wakinamama waokotao nguo zilizotupwa Dampo na kwenda kuziuza masokoni

    Wafanyabiashara wanaokota nguo jalalani na kwenda kuziuza tena masokoni wametaja baadhi ya changamoto ambazo hukutana Nazo huko majalalani. Maiti za watoto wachanga walioviringishwa kwenye nguo ni kawaida sana kukutana nazo, Wa mama hao wamesema kuwa mara nyingi hukutana na maiti za watoto...
  12. V

    INAUZWA Tunauza mabalo ya nguo za mtumba

    Karibuni sana vunjabei mtumba grade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 kutoka China Dubai uturuki Canada Tuna balo za nguo aina zote kama Gauni jeans suruali Koti blouse skirt tshirt jeans kadeti pens Shati Viatu mabegi pazia shúka Tunapatikana Ilala boma dar es salaam mtaa wa mwanza...
  13. Tutavaa lubega, mavazi na nguo za Wamasai juu ya mavazi yetu

    Wale wote wenye nia njema na wanaochukia uonevu na unyanyasaji wanaofanyiwa wenzetu jamii ya wamasai tuwaunge mkono kwa kuvaa mavazi yao ya asili. Uhamasishaji mkubwa utafanyika kuhakikisha nguo na mavazi kama lubega au mashuka ya wamasai yanavaliwa na wote ambao tunawapenda na kuwajali...
  14. Wanawake wakivaa nguo za Mazoezi (Yoga Pants) wanavutia sana

    Kubali au Ukatae...iko hivyo Wanawake wakivaa hizi nguo wanakuwa poa sanaa....halafu wanaonekana Classic wote yaani Wakishua hata kama sio....zaidi wanaonekana wasafi kumbe wengine hamna kitu...wanajikuta tu 😂 Povu za weekend ndio tunataka...karibu
  15. Baadhi ya Wanawake badilikeni kwenye utaratibu wa kuanika nguo za ndani (Chupi) maeneo ya wazi

    Inshu iko hivi: Kuna mwanangu mmoja kapanga chumba kawaida tu kama watu wengine wanavopanga Sasa kuna dada mmoja huyo ni mpangaji mwenzie ila chumba cha mbali Amekuwa na tabia ya kufua chupi kibao halafu anakuja kuanika katika kamba iliyo mbele ya mlango wa mshikaji Sasa leo mwana kafua boksa...
  16. Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

    Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem) Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli. Augost 2021 Haji Manara huyu hapa...
  17. Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  18. Kenya wanakataza kuvaa nguo za kijeshi?

    Nimeona mchekeshaji wa Kenya Kennar akiwa amevaa magwanda ya Jeshi kwenye baadhi ya maudhui yake ya vichekesho (Mtandaoni). Swali: Nchi ya kenya inaruhusu wananchi kuvaa nguo za jeshi? NB: HAPA TZ UKIKUTWA UMEVAA NGWANDA NI KOSA KISHERIA NA UKIKAMATWA UNACHEZEA MBATA ZA KUTOSHA.
  19. Wafanyabiashara wa nguo za mitumba wagundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu

    Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini. Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
  20. K

    Hivi kujikuta unamka bila nguo wakati ulizivaa wakati wa kulala ina maana gani?!!

    Unaamka baada ya kulala fofofo unaziona boxer yako na t.shirt vileee pale! Hii ina maana gani wakuu mbona maisha yanakuwa magumu hivi?!!!!!!!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…