nguo

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza akiwa amevalia nguo za CCM, Juni 30, 2025

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza henga za shelf na reception table za maduka ya nguo na maduka mbali mbali

    Mambo vp wakuu Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini.. Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako Tupo dar mbagala 0692477610
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza henga shelf's na reception table za maduka ya nguo na maduka mbali mbali.

    Mambo vp wakuu Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini.. Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako Tupo dar mbagala 0692477610
  4. K

    JamiiForums Tanzania Je kwa nini mavazi ya mtoto wa kiume ni gharama sana?

    Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao. Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

    Hili ni swali naomba majibu. Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini? Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao...
  6. JamiiForums Tanzania Utekaji na kupotea kwa raia umeyavua nguo majeshi ya Tanzania.

    Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kavuliwa nguo badala ya kuchutama kainama

    Huwa wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo chutama. Yaani chuchumaa. Nimeshangaa sana. Kuna mtu kavuliwa nguo. Yeye kainama... Sasa tunashangaa kusudio lake nini? Amejitoa mhanga? Hajali au Kiburi?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo

    Guys, habari, ni mgeni kwenye hii familia nimejiunga JamiiForums baada ya kuwa nasoma ideas zenye mantiki bila kuwasilisha mine, Quick discussion, Nina million 4 nataka nianzishe biashara ya kuuza nguo za kikee (kwenye frame) Naomba kujua changamoto na how to start maana Sina hata uhakika kama...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Thea Ntara: Wasanii wanaovaa vibaya na Wanawake wanaocheza vigodoro wakiwa wamelowesha nguo wakamatwe

    Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi afunguka mateso ya kikatili aliyofanyiwa Tanzania, adai ''Tuliambiwa tuvue nguo, tutambae na tuoshe damu''

    Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi alivyolazimishwa kuvua nguo, kutambaa na kuosha damu mwilini mwake, huku akidai kuwa aliteswa kikatili pamoja...
  12. JamiiForums Tanzania Nguo ya mwendawazimu haikosi chawa, mnaojiita chawa mwendawazimu wenu ni nani?

    Nahitaji majibu
  13. JamiiForums Tanzania Watumishi wa kada ipi wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka?

    Uzi tayari
  14. JamiiForums Tanzania Majizo alivyotinga ukumbini tuzo za Samia na nguo za kulimia shambani

    Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan, Jamaa alitinga T shirt ya 10,000 jeans ya 20,000 na sandal za 8000 sasa chawa wake na wafanyakazi wake walivyolipuka...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Njaa haimpendezi mtu kama nguo, Tundu Lissu akigoma kula msihangaike naye, atakula mwenyewe

    Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa. Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Usitoe nguo zako ulizozivaa kwa kituo cha yatima

    Kila mtu anapaswa kujua kwamba ili Mungu akubariki ni lazima utoe kilicho bora zaidi na sio kitu ambacho hata hukihitaji tena. Hata Mungu alimtoa mwanae wa pekee kama tunavyoamini sisi wakristo. Angeweza kumtoa mmoja wa malaika wake lakini alitoa kilicho bora zaidi. Ikiwa unataka kuwapa...
  17. JamiiForums Tanzania Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

    Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao. https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kutunza na Kufua Nguo na Matendo Yetu

    Kutunza na Kufua Nguo na Matendo Yetu Nguo au vazi linawakilisha “matendo ya mtu”. Maana yake ni kuwa kiroho, mtu mwenye mavazi safi, maana yake matendo yake pia ni safi. Kinyume chake, mwenye mavazi machafu maana yake matendo yake si safi (Ufunuo 19:18). Kuna uhusiano kati ya mavazi ya mtu na...
  19. JamiiForums Tanzania SADC na SAMIDRC zaufyata tena mbele ya AFC/M23. Mwaka wa kudhalilika na kuvuliwa nguo

    Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC. South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa Ulaya, walipokuwa wakipita mpakani mwa Rwanda na DRC, waliiomba M23 kwa makubaliano(Hakika yalikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…