nguo

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  2. JamiiForums Tanzania Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

    Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi Dar wanauza nguo za kitamaduni na kiasili kwa bei nzuri?

    Ukitoa mwenge vinyago wenye bei za kizungu sehemu gani nyingine nitakuta mavazi yenye arts ila bei nzuri
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Wilbroad Slaa: Kesho kila mtu avae nguo au kitambaa cheusi kama ishara ya kuwa yuko pamoja na Tundu Lissu

    Wakuu, Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa "Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
  6. JamiiForums Tanzania Ijue historia ya nguo ya ndani(BIKINI)aina zake na matumizi yake!

    Historia ya chupi ya bikini Bikini ni aina ya vazi la kuogelea (swimsuit) au nguo ya ndani yenye vipande viwili – juu (bra/top) na chini (panty). Mwanzo wake: Enzi za kale: Wazo la bikini si jipya. Picha za kale za Warumi na Wagiriki kwenye sanamu na michoro zinaonyesha wanawake wakiwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha kumekuwa na tabia ya wauzaji wa Vitu sana sana Viatu na nguo kuwauzia wateja vitu feki

    Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji tukiwaambie watupatie risiti hawafanyi hivyo badala yake wanatuzungusha na kuwa hawatoi. Ukijaribu kufuatilia...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana kama unajitafuta nunua nguo rangi hii

    Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi. Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema. Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu...
  9. JamiiForums Tanzania Nguo zako ambazo huzivai tena aidha kwa kuchakaa au kuwa ndogo huwa unazifanyaje?

    Nimekutana na mada ya moto kidogo. Kuna wanaoamini tuwape wenye uhitaji ila wengine wanapinga wanasema sio sawa. Unaweza kupata mikosi. Kuna wanaosema wanazitupa au kuchoma moto ila baadhi wanasema hapana. Kuna wanaoamini nguo ukizirundika na huna matumizi nazo basi unazifunga ridhiki zako...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkubwa akivuliwa nguo huchutama: CCM wazuieni vijana wenu wasijibu kwa mihemko, wanazidi kuharibu

    Kila mtu sasa ni lwake ndani ya chama! Walau mpaka jana usiku walikuwepo bado wachache wa kusema kitu.. Lakini si kuanzia usiku wa kuamkia Leo! This time limeongolewa jambo ambalo ccm katu wasingekubali kwa gharama yoyote ile liwekwe wazi.. Baada ya maonyo mengi na kutosikilizwa hatimaye Pole...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

    Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
  12. JamiiForums Tanzania Chumba cha kubadilishia nguo ni special kwa wachezaji na benchi la ufundi siyo jukwaa la kisiasa

    Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko. Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kariakoo msaada tujuzane wapi ntapata suruali hizi kwa bei nafuu maana huku ni 38 tunaambiwa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kawavua nguo, mko watupu, tafuteni walau khanga mjisitiri

    Ukiona mtu yuko uchi wa mnyama na anatembea barabarani bila kujali, anaongea, anacheza bila wasi wasi wowote basi fahamu fika wazi kuwa mtu huyo ni mgonjwa. Hajitambui kuwa yu uchi, anahitaji msaada maana si busara kumwacha binadamu mwenzako apuyange mtaani akiwa mtupu. Maguo yenu yana viraka...
  15. JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo nipo hapa

    Natafuta Fundi wa nguo za kiume Msaidizi. Finishing Suits, Shirts, Pants ect..Nipo tayari kukufundisha kushona nguo za kiume kisasa for free +255719377649 Dar es salaam, Tanzania
  16. JamiiForums Tanzania Wauza mitumba mnatuotea bar nimewashtukia nasitisha nimegundua nguo zenu hatuzivai

    Hii nchi kila kona upigaji yaani mtu anakutegea ukiwa umelewa anakuja na shati lake na suruali eti 10000 anakupigisha stori wee eti anakushushia bei 5000 sijui ndo pombe au anamuonea huruma unaichukua nguo unakwenda kuijaza chumbani huivai kumbe ilikuwa NI ronyo.Nyie watengenaji wa pombe...
  17. JamiiForums Tanzania Leseni ya biashara ya duka lako la nguo

    Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga. Faida unazopata ukiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
  19. JamiiForums Tanzania Tuongee kifamilia/kitamaduni:-Kwa mwanamke je ni sahihi kufua nguo za baba mkwe wake?

    Kulingana na mila na desturi zetu zinatofautiana kabila hadi kabila na jamii nyingine kwenda jamii nyingine. Ni kawaida kukuta jamii au tamaduni ya watu hawa haziingiliani na tamaduni za jamii/kabila fln. Mfano kuna baadhi ya makabila huoa binamu zao wengine huzaa na dada zao nk. Kule...
  20. JamiiForums Tanzania Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!

    Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!! Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati hujuhi hata mara ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya Ibada ni lini?? Endeleeni kuzianika tu!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…