ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Unataka Kujua Jinsi ya Kuishi na watu wenye Personality ngumu?

    Kula hiki kitabu, Kitakufundisha jinsi ya kuishi na kuendana na watu wenye personality ngumu, Watu wasiopatana na watu, watu wakorofi, Watu hawa unakuta hatuwezi kuwaepuka kwan mara nyingi unaweza kuta ni mkeo, mmeo, mzazi wako, ndugu yako wa karibu, boss wako, mtoto wako,mwalimu wako,wateja...
  2. G

    JamiiForums Tanzania kadri umri unavyozi kuenda utachepuka na wake za watu. Ni ngumu kuwa 40+ na kuchepuka na vibinti vyenye 20s na wengi wenye 30+ ni wake za watu

    Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui. Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible kuwa approach ni wale kwenye 30s na ratio yao kubwa ni wake za watu aidha wapo kwenye ndoa active ama...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya wachache walioweza kufanikiwa sehemu ngumu inafanya wengi wawe masikini, epuka huo mkumbo !! fanya kitu cha uhakika vingine weka plan b

    Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wakati wakikabiliwa na hali ngumu ya uchumi, Wairani wageukia dhahabu na fedha za kigeni ili kuhifadhi mali

    Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa dhahabu, fedha za kigeni na kuhamisha mitaji nje ya nchi. Katika mwaka uliopita, Rial ya Iran imepoteza...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Usipige kelele ndoa ngumu fanya fammy mapping utabeba mizigo isiobebeka aka misukule ya ukoo..

    NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA HAKUNA WA...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wadogo 20s-30s waliotoboa wakifilisika ni ngumu kujirudi lakini wanaoanza kushika pesa kwenye 40s ni nadra kudondoka?

    Huwa kuna vijana wafanyabiashara wanapata upepo mkali wa pesa uelekeo wao wakiwa wadogo kwenye rika la 20s - 30s za mwanzo, Ghafla kuna kipindi inatokea biashara zinayumba nao huanza kudondoka kiuchumi, aina hii ya vijana ni ngumu kuwaona wanajirudi upya, wanaojitahidi kujirudi upya huwa wana...
  9. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio vs mishale mingi, kukata tamaa, kukatishwa tamaa,anasa za mwili etc ni ngumu kutoboa kama haupo imara!

    Habari wakuu, Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo. Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuundwe siku ya mahouse girl, chama cha mahouse girl, kazi wanayofanya hakika ni ngumu

    Moto unauma wewe assume kila siku unaungua kwenye kupika bado nguo za kusugua zinakusubiri. Kazi fulani hivi afu watu wanaidharau vibaya mno. Sasa mbona na wenyewe wanazingua hawana umoja wao ni watu wanafanya kazi Kwa wakubwa kweli hakuna mjanja wa ku initiate Ka chama Hivi ikawa kazi RASMI...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tangu nizaliwe nimepitia changamoto ngumu ngumu ila hii ya sasa too much. Sasa naweza kusema hakuna jambo la kunipeleka kwa waganga au manabii fake

    Hello Hapo zamani Njaa nimewahi kulala zaidi ya mara moja. Nimewahi kukosa mahali pa kulala. Nimewahi kulala porini peke yangu. Nimewahi kushikwa mjini kwa kosa la uzurulaji. Nimewahi kukataliwa na mtu niliyemwamini kutia Saini fomu yangu ya kujiunga kidato cha 5. N.k. N.k Baada ya miaka...
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

    "Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"- My take : Yawezekana...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Faida za kutoka jasho kwa mazoezi au kazi ngumu

    Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa. Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
  15. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha kwa wananchi ni ngumu kweli!? Ama tulizoea Dezodezo

    Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea. Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo). Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kua kiongozi wa simba ni kazi ngumu sana

    https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  18. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Tahadhari; Ni Ngumu na Utashindwa

    Rafiki yangu mpendwa, Tasnia ya elimu ya maendeleo binafsi imetawaliwa na maarifa chanya juu ya mafanikio. Imekuwa inafundishwa na kusisitizwa watu kufikiri chanya ili kuweza kuchukua hatua na kupata mafanikio makubwa. Hiyo ni kwa sababu mtazamo hasi ndiyo kikwazo namba moja kwa watu...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii, Airtel nao wamepunguza Kamisheni kwenye miamala

    Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto. Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
  20. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

    Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake. Binafsi nampenda sana na hii ni...
Back
Top Bottom