Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,133
- 6,917
Nguvu ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi san,a kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyuma nini shida?
Ni kama ujauzito tu, kuna miezi unapeta na kuna miezi unakeshaNguvu ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi san,a kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyumba nini shida?
View attachment 3086249
Mawazo kama hayo yalifanya wengi wakafa na nyumba zao kichwani bila ya utekelezaji wowote kufanya.KWa sababu tunafosi kujenga.
mimi nikishakuwa na bajeti ya gharama ya nyumba mpaka inaisha nikahakikisha kwamba kiasi hicho ninacho kwa muda huo ndio nitaanza kujenga.
Kujenga tuna ku overrate sana wakati ni process za maisha kama process zingine.
Kwa maisha yangu mimi pakukaa sio tatizo,tatizo vyanzo vys mapato ndio shida,ninachofanya ni kupambana nipate biashara safi nitoboe na hapo nitajenga within a few weeks mjengo unasimama.
Umeongea ukweli mchunguTafizo binadamu mbwembwe nyingi mnoooo. Mara sijui choo cha million tatu tile 120.000 per sqm. Wewe jenga kwa uwezo wako basi.
Pagumu kupau tuu kwenye ujenzi maana inahitajika hela ya mkupuo.
Kwengine kote easy tuu.
Uita fundi maikl anatemgeneza chumba kimoja baada ya miezi mitatu akuja kutegeneza chingine
kuezeka ni kipengele maana hapo huwezi kusema utaezeka nusu uache nusu ni shughuli nzima inaisha siku moja kama zege vileNguvu ya kuanzia msingi hadi kwenye lenta inakuwaga ya kasi san,a kuanzia hapo hadi kumalizia wengi hurudi nyumba nini shida?
View attachment 3086249
Mkopo haufai kabisa kwenye kujenga nyumba labda iwe ya biashara mfano kujenga guest, nyumba ya kupangisha au frem za maduka ila ukope ili ujenge then ukakae ndani humo utakuwa ka walimu ss utaishi maisha ya tabu na mashaka maisha yako yote ya mkopo mana kujenga sio masihara unaweza sema nikope milion kumi nimalizie ujenzi ikaishia kupiga plasta tu hata umeme ndani hamna 😆😆😆😆😆Chukua mkopo ili umalizie kujenga usichukue ili uanze kujenga utakuja nishukuru
Hapo vijana watakupinga mkuu.Kwa sababu tunafosi kujenga.
Mimi nikishakuwa na bajeti ya gharama ya nyumba mpaka inaisha nikahakikisha kwamba kiasi hicho ninacho kwa muda huo ndio nitaanza kujenga.
Kujenga tuna ku overrate sana wakati ni process za maisha kama process zingine.
Kwa maisha yangu mimi pakukaa sio tatizo,tatizo vyanzo vys mapato ndio shida,ninachofanya ni kupambana nipate biashara safi nitoboe na hapo nitajenga within a few weeks mjengo unasimama.
Asa unakuta mtu anakopa ili ajenge huku hata kiwanja hana mkopo wote unaishia kwenye msingi anabaki kushangaaMkopo haufai kabisa kwenye kujenga nyumba labda iwe ya biashara mfano kujenga guest, nyumba ya kupangisha au frem za maduka ila ukope ili ujenge then ukakae ndani humo utakuwa ka walimu ss utaishi maisha ya tabu na mashaka maisha yako yote ya mkopo mana kujenga sio masihara unaweza sema nikope milion kumi nimalizie ujenzi ikaishia kupiga plasta tu hata umeme ndani hamna 😆😆😆😆😆
Nyumba inakuwaje ya familiaMkuu mbona umepost nyumba yetu iliyopo Mkalama bila idhini ya familia.