nguli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Nguli wa Bayern Munich, Franck Ribéry, ametajwa katika nyaraka za Epstein

    Wizara ya Sheria ya Marekani (DOJ) imetoa mamilioni ya nyaraka zinazohusiana na kesi ya Jeffrey Epstein, zikiwa na majina ya watu mbalimbali wakiwemo watu mashuhuri, wafanyabiashara wakubwa na maofisa waandamizi wa serikali. Nyaraka hizo ni sehemu ya uchunguzi mpana unaohusiana na Epstein...
  2. Bata batani

    Ikiwa Ujerumani ndo nchi ya watu wenye akili duniani na wana nguli imeshidwaje kuwa among super power dunia

    Albert Einstein – Nadharia ya Relativity Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory Werner Heisenberg – Uncertainty Principle Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays Hermann von Helmholtz – Fizikia na fiziolojia 🧪 Kemia Justus von Liebig – Baba wa modern chemistry Fritz Haber – Haber Process...
  3. Pascal Mayalla

    PPR Vox Pop: Mwandishi na Mhariri Nguli Absolom Kibanda, Anazungumzia Ilani ya CCM, Kuhuisha Katiba Mpya ni Kubwa!.

    Wanabodi Nazungumza na Mhariri Waandamizi Absolom Kibanda akizungumzia ilani ya CCM. https://youtu.be/8BSHw4ZM7A8?si=Juc7jONBbKGtmz3b Karibu Paskali
  4. Buyaka

    Naibu Waziri aliyehonga wananchi nyama ya ng'ombe 500 alipigwa chini na kachero la uchafuzi

    Hajafanya lolote jimboni. Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague. Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8. Laki nane X 500 = 400 milioni Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu...
  5. Zanzibar-ASP

    Kama Kada Mwandamizi na Mwanadiplomasia nguli anaweza kumkosoa boss wake hadharani hivi, basi Rais amezungukwa na genge hatari sana la kisiasa

    Alianza yule spika wa mjengoni (Job) wengine wakadhani ni mzaha, sasa amekuja mzee-kijana wa Cuba (Mr. Slow) akapita mule mule. Wote hawakujali nafasi zao kisiasa wala ukubwa wa bosi wao, wameshusha mashambulizi mazito mnoo dhidi ya mama yetu mpendwa wakisema utawala wake umekosa mwelekeo na...
  6. L

    PICHA: Huyu Ndiye Mstaafu Nguli Wa Diplomasia Na Siasa za Kimataifa Aliyebakia Barani Afrika Na kuheshimika Kupita Kiasi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika. Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
  7. GENTAMYCINE

    Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  8. ELI COHEN

    Storia fupi J.K. ROWLING mwandishi nguli wa Harry Potter. Nimejifunza "its never too late" kubadirisha maisha yako

    Katika umri wa miaka 17, alikataliwa kujiunga chuo kikuu. Katika umri wa miaka 25, mama yake alikufa kutokana na ugonjwa. Akiwa na umri wa miaka 26, alihamia Ureno ili kufundisha Kiingereza. Katika umri wa miaka 27, aliolewa. Mumewe alimnyanyasa. Akiwa na umri wa miaka 28, alitalikiana na...
  9. Emilio Mzena

    Anaandika mchambuzi nguli wa mpira, Geoff Lea kuhusu Kocha wa Singida kutua Yanga

    Viongozi wa Singida lazima waende peponi,hamna watu wana upendo wa mshumaa kuliko hawa katika soka kokote pale duniani,ukitaka mchezaji wanakupa ukitaka kocha wanakupa ushindwe wewe tu
  10. D

    Alitaka kupambana na mchumi nguli ambaye hata Rais hamgusi. Sasa kapotea jumla

    Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi. Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona Mpina kwa heri ya kuonana.
  11. Daby

    Msanii nguli na mzuri anajua wakati wa kushuka stejini.

    Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF. Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge. Pili ni viongozi wa wakuu kukaa madarakani kwa muda mrefu. Tatu ni kuhamahama kwa viongozi waandamizi wa vyama...
  12. SSH2025_2030

    Dr Michael Kadeghe - Msomi, Mwekezaji na Mwanasiasa nguli

    Mwandishi mahiri wa vitabu vya lugha ya kiingereza, mmiliki wa shule ya Perfect Vision na Mwanasiasa mahiri tutakukumbuka daima. SAME MASHARIKI tumepata jembe 2025-2035.
  13. Stuxnet

    TANZIA Mtayarishaji nguli na mtunzi wa muziki Quincy Jones afariki dunia

    Quincy Jones amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91. Alifariki usiku wa Jumapili nyumbani kwake Bel Air, Los Angeles, akiwa amezungukwa na familia yake. Quincy Jones alikuwa mtayarishaji maarufu wa muziki, mtunzi, na mpiga ala, anayejulikana kwa kazi zake na wasanii kama Michael Jackson na...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Picha hii ni special dedication kwa Mshana Jr, mwana JF nguli asiye na mfanowe

    Mr. Warthog is untouchable.
  15. Msanii

    Wanaharakati nguli, mnaokoteza matukio mitandaoni au wahitaji wanawafikiaje?

    Nisiwachoshe sana. Twende kwenye hoja Nimekuwa nafuatilia kwa uchanya sana shughuli za wanaharakati hususan wanasheria wa kujitolea wanaosimamia haki kwa gharama kubwa ya kujitolea. Nimeangalia kurasa zao zote za mitandaoni hawajaweka mawasiliano yao na wameenda mbali zaidi wamefunga inbox zao...
  16. B

    Tundu Lissu akihojiwa na Mwandishi Nguli Salimu Kikeke

    https://youtu.be/etmvlmuAWEs?si=NY8xteUIILZEaTdz
  17. R

    Wanasheria nguli nauliza: Feleshi ana sifa za kuwa Justice of Appeal?

    Mwenye fununu za sifa za kuwa Judge wa Mahakama ya Rufaa anisaidie kujua kama Feleshi kama ana professional qualifications /anastahili au ni zawadi kutoka kwa mama. Sijwahi ona HUKUMU ya Feleshi kutoka High Court of Tanzania katika tafiti zangu ( I MIGHT BE WRONG AND NOT INFORMED) Anakwenda...
  18. GENTAMYCINE

    Betty Mkwasa: Fani ya Uandishi wa Habari ipo ICU kwa sasa na Nasikitika Wahusika tumenyamaza tu, huku ikienda Kufa kabisa

    "Siku hizi Mtu akiwa tu ni Maarufu, Mchekeshaji, Msanii au Mbwabwaji Mitandaoni basi haraka sana anakuwa Mtangazi wa Redio na Tv. Naumia sana kuona hii Fani yenye Heshima kubwa duniani kote sasa hapa Tanzania ikiwa ipo ICU na Siku si nyingi inaenda Kufa kabisa. Sikatai ujio wa Teknolojia kwani...
  19. K

    Tunawaomba wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina, kifungu kwa kifungu ili tujue ukweli

    Jana Mhe. Mpina alifukuzwa Bungeni na kutakiwa kutohudhuria mikutano 15 ya Bunge. Tulisoma HOJA zake lakini uamuzi ukafikiwa kuwa afukuzwe. Kwa kuwa nchi hii inaongozwa kwa kufuata UTAWALA BORA, pia inafuata sheria, kanuni na taratibu hivyo ninaomba Wanasheria nguli watufafanulie hoja za Mpina...
  20. The Supreme Conqueror

    Nguli wa vita vya majimaji 1905-1907 Nduna Songea Mbano

    JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea. Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya iliyopo katika mkoa wa Ruvuma na jina hilo linatokana na shujaa wa Wangoni, Nduna Songea Mbano. Ni vigumu kuilezea historia ya vita ya Maji Maji bila kutaja...
Back
Top Bottom