“HAKUNA Mwanaume amewahi kulalamika rushwa ya ngono,” amesema Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Stella Mafuru.
Amesema kesi zote zinazohusu rushwa ya ngono, zinatolewa na wanawake, lakini hakuna mwanaume yeyote ambaye amewahi kuripoti rushwa hiyo ya ngono ambayo kwa sasa imeingia kwenye kipengele...