ng'ombe

Ng'ombe
Ng'ombe ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa.

Kwa asili kuna aina mbili za ng'ombe-kaya: ng'ombe wa Ulaya na ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi za B. taurus na B. indicus). Zinatoka kwa nususpishi za zamani B. p. primigenius na B. p. namadicus.

Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
  1. kavulata

    Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  2. ELI COHEN

    Kuna jamaa alisemaga humu eti ukifuha ng'ombe mmoja wa maziwa mwajiriwa wa serikali hakufikii😂 ila JF bana isifutwe aisee

    Hii ndio zile ahadi za kiujamaa tukaishia kula vumbi hadi leo
  3. Imani rubaba

    Ng'ombe mmoja anatoa sio chini ya lita 25 za maziwa, ninao zaidi ya 10 wateja hadi tunawakataa

    📌 KUMBUKIZI LA UHALISIA “Ng’ombe mmoja akiwa amezaa, huwezi kukosa lita 25 za maziwa kwa siku ukiwa na ng’ombe bora na lishe sahihi. Mimi nina zaidi ya ng’ombe 10, na soko la maziwa ni kubwa sana. Tunauza katika maeneo mbalimbali ikiwemo mashuleni kutokana na ubora wa maziwa tunayozalisha.” —...
  4. Imani rubaba

    Ukifuga hata ng'ombe mmoja tu wa maziwa, mwajiriwa hakufikii

    KUMBUKIZI 📌 Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza. Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika. Kupitia kujifunza, kufanya...
  5. Mstahiki Mea

    Usitumie Mafuta ya kukamulia Ng'ombe kujipaka binadamu

    Bidhaa inapotengenezwa hasa ya afya huambatana na tafiti na uthibitisho wakutosha kabla ya kuruhusiwa kutumika katika shughuli maalumu iliyokusudiwa. Kubadilisha matumizi ya bidhaa ya afya sio jambo linaloshauriwa hata kidogo mara nyingi ni hatari na huweza kuambatana na madhara makubwa...
  6. Allen Kilewella

    Kuna watu eti wanataka kumchangia yule Ng'ombe

    Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali. Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani. Na kama aliuawa...
  7. Idugunde

    Ipo siku atakufa mwanasiasa mkubwa wa CCM na Watanzania watachinja ng'ombe na kusherehekea.

    Napata picha mbaya sana ya hii chuki. Haijawahi kutokea tangu tumepata uhuru. Leo hii askari polisi au MwanaCCM akipata ajali watu wanafurahia afe. Akifariki mwanaCCM au chawa wa CCM watu wanashangilia kifo ni kifo tu.
  8. Imani rubaba

    Kumbe kuna ng'ombe wanatoa hadi lita 40 kwa siku

    Hapa Tanzania ukisema kuna ng’ombe wanaoweza kutoa lita 40 za maziwa kwa siku, wengi watakushangaa—wengine hata watakupinga kabisa. Lakini ukweli ni huu: ng’ombe hao wapo. Ukienda nchi jirani kama Kenya, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa unachukuliwa kama BIASHARA, si mazoea. Ni jambo la kawaida...
  9. Mzee Mwanakijiji

    Zizini TV: Kwenye zizi la ng'ombe, Chui ndiye Mhubiri mkubwa wa "Amani na Utulivu"?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui ni 'genius' gani huyo ambaye ameanzisha hili la kuwa "tunataka amani kwanza". Kwa wiki hasa baada ya Oktoba 29 kumekuwa na jitihada kubwa ya kujaribu kugeuza mambo kinyumenyume. Sasa tunaambiwa "amani kwanza" ndio mambo ya "haki" yaje baadaye. Hili sijui limeanzaje...
  10. M

    Upandishaji wa ng'ombe na nguruwe kwa njia ya mrija

    🌟 WAKATI NI SASA! 🌟 Upandishaji kwa Chupa (AI) kwa Ng’ombe na Nguruwe – Teknolojia ya Kisasa kwa Mafanikio ya Mifugo Yako! 🐄🐖 Unataka Ng’ombe au Nguruwe Wenye Maziwa Mengi, Uzito Mkubwa, na Uwezo Bora wa Kuzaa? Tunakuletea huduma ya kitaalamu ya AI (Artificial Insemination) kwa kutumia mbegu...
  11. excel

    Rais Wa JMT hajui kama wananchi wanasafirishwa kama ng'ombe. mfikishieni Taarifa

    Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi) Mh. Rais SSH hana hizi taarifa Huu usafiri sio salama
  12. Buyaka

    Naibu Waziri aliyehonga wananchi nyama ya ng'ombe 500 alipigwa chini na kachero la uchafuzi

    Hajafanya lolote jimboni. Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague. Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8. Laki nane X 500 = 400 milioni Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu...
  13. Just Pray

    GE2025 Wao wamepeleka baiskeli, sisi ADC tunapeleka Ng'ombe ili tutoke ngoma droo

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano unaoweza kuathiri haki na uwazi wa uchaguzi. Akizungumza Jumatatu, Agosti 18, 2025, katika Mafunzo...
  14. M

    Faida za kumkausha ng'ombe

    🟩 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE NA MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA 🐄 --- ✅ MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA Ng’ombe hukaushwa wiki 8 (siku 60) kabla ya kuzaa. Huu ni muda unaotosha kumpumzisha na kujiandaa kwa kizazi kijacho na uzalishaji mpya wa maziwa. --- 🌟 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE: 1. Huongeza...
  15. ufalmedigital

    kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe angalia kuku anayeuzwa bei kubwa
  16. ufalmedigital

    kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    https://www.youtube.com/watch?v=GmJyilSz9i0&t=71s kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe
  17. The ice breaker

    Ngozi za ng'ombe zinahitajika

    Habari Nahitaji ngozi za ng'ombe , hata kama una mzigo wa tani laki moja , nachukua Nipigie 0616274277
  18. cacutee

    GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Mwazahumua wedi wagosi wa JF wabwanga na watate? Mwahumuaze wandee wose na va mame? Na wale wengine bila Shaka mtakuwa wazima. ✍️ ooh tatenaneee wabwanga tushikamane Jimbo la BUMBULI wananchi wamefurahi January Makamba kukatwa mpaka wameamua kuchinja. Tutaona mengi huu mwaka Ndio kwanza...
  19. Huihui2

    Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
Back
Top Bottom