ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye nayecheza ngoma isiyokuwa yake

    RAIS SAMIA ANACHEZA NGOMA ISIYOKUWA YAKE Katika historia ya Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa kipekee aliyeingia madarakani si kwa matakwa yake binafsi, bali kwa matokeo ya kikatiba kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Pombe Magufuli. Kwa kinywa chake mwenyewe, Samia aliwahi...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

    I salute you kinsmen. Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana . Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja...
  3. JamiiForums Tanzania Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

    Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ... Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
  4. JamiiForums Tanzania Sio mwana×2 Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza.. Huko ni kuvuka Mipaka

    Kumekuchwa! Gwajima ameambiwa Ngoma sio Yake anaicheza, ataharihu. Lakini mwimbaji wa singeli yeye anakuambia; Sio mwana! Sio mwana! Ngoma sio yako unaicheza! Unaicheza! Huko ni kuvuka Mipaka. Majibu hayo yanaonyesha wazi kuwa alichokisema Gwajima ni sahihi kabisa. Lakini ishu inakuja...
  5. JamiiForums Tanzania Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  6. JamiiForums Tanzania Ngoma agombana na Pin Pin Camara wakati wa mapumziko

    Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake Taarifa nilizozipata ni kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) lapiga marufuku Vijora Uwanjani

    Shirikisho la mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) limepiga marufuku kwa Klabu za mpira wa miguu kwenda Uwanjani na vikundi maalum vya kucheza vya Wanawake wanaocheza ngoma zisizo na maadili pamoja na kuvaa nguo (Vijora) na kuonekana maumbile ya miili yao. ZFF inatoa angalizo la kuzichukulia hatua...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wapiga ngoma wa China na Senegal wawasiliana kwa mdundo wa masikilizano

    China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki wa jadi ambao umedumu kwa miongo mingi. Urafiki huu unagusa sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya utamaduni. Hivi karibuni, onyesho lililopewa jina la “Masikilizano ya Ngoma na Muziki” lilifanyika Dakar, mji mkuu wa Senegal, ambapo wapiga ngoma kutoka...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nassoro Ngoma: Aliyoyafanya Majaliwa Ruangwa si maendeleo bali ni mageuzi

    Wakuu wa Jimboni kwa Waziri Mkuu mje mtuoneshe hayo mageuzi mliyofanyiwa huko. === Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Nasoro Ngoma amesema aliyoyafanya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika jimbo lake ndani ya miaka 10 si maendeleo bali ni mapinduzi. Ngoma ameeeleza mtandao wa lami uliowekwa katika kipindi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ngoma za asili ya Uarabuni ni kivutio duniani

    Hii Ngoma inaitwaje? Utamaduni wa Kiarabu unajumuiaha Ngoma, Chakula na Watu.
  11. JamiiForums Tanzania Okejepha sio mchezaji wa kukaa benchi alafu ngoma akaanza

    Nilishawaambia kocha wa simba Hanaga plan B ( rejea post zangu za nyuma. Yeye alipopata matokeo kipindi cha kwanza cha pili ni ngumu, hata sub zake huwa za mashaka sana akiwa hana matokeo. Mara nyingi sub ambazo anafanya ni zile zile hasa akipata matokeo kipindi cha kwanzo....atawapumzisha...
  12. JamiiForums Tanzania Nilihoji hapa hapa hivi karibuni kwanini Mavambo aliyechangamka haanzi na anaanza Ngoma aliyezeeka nikapuuzwa ila taratibu tu mtanielewa

    Kuna muda huwa nahisi kuwa Kocha wa Simba SC Fadlu Davis anapangiwa Kikosi au nae huwa Anabeti kwani simwelewi.
  13. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Msemaji wa Waasi wa M23 Willy Ngoma Alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC

    Mapokezi ya Msemaji wa waasi wa M23 wanaoungwa Mkono na Rwanda Willy Ngoma alivyopokelewa Katika Kambi ya Majeshi ya SADC. Video hii inaonyesha akipiga stori na wanajeshi wa SADC Kutoka Tanzania , akiomba pia mualiko wa sikukuu ya Eid El Fitr kula pilau jijini Dar es Salaam. Pia majeshi ya SADC...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ngoma gani kati ya mtazamo ama Darubini kali ilimpa sifa Afande Sele ya kuitwa mfalme wa Rhymes 2004?

    Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali. Historia kidogo. Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004". Kupitia Kampuni...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine, sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?

    Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
  16. JamiiForums Tanzania Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

    Tupia nawewe yako ngoma kali unayoikubali ya mmakonde
  17. JamiiForums Tanzania Tangu aachie Komasava, msanii wenu kapotea kabisa. Ngoma zake 3 za mwisho zote zimebuma. Shida itakuwa nini?

    Wakuu, Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono? Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa. Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma. Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
  18. JamiiForums Tanzania Mtani wangu Oten wa Moro ulitupiga kamba kwenye Ngoma yako ya nicheki, upanga siyo mitaa ya kisure bal ni uswahilini

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika kristo Mimi kama msukuma napingana mambo kaza wa kaza juu ya Ngoma ya oten ya nicheki, cha kwanza Ngoma ni kali sana huo ndo ukweli, sema mtani wangu huyu alizidisha uongo uongo mwingi sana Jamaa anasifia mitaa ya upanga ni mitaa ya kisure , ukweli ni...
  19. JamiiForums Tanzania FidQ: anatuachia ujumbe mkubwa sana kwenye Ngoma yake ya SUMU, tuijadili

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako, Bhene bhalelemeja bhango jako douhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…