ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 tukubaliane tutatoka na hii ngoma?

    "Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika, wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru. Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2 watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema. Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru. Kumbe si...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima awatupia mzigo bodi ya Sanaa kuhusu maudhui ya Msanii Willy Nass anayetaka Penzi na mama yake

    Kutoka kwa Wananchi waliokerwa na kunitumia taarifa hii; Huku online kurasa mbalimbali, anayedaiwa kuwa ni Willy Nass na anayejulikana kama msanii wa comedy na content creator wa mitandaoni, ameandaa na kusambaza comedy ya ajabu inayohusu eti mama na mtoto wake kuanzisha uhusiano wa mapenzi...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wanabadili midundo tu lakini ngoma ni ile Ile!

    Ukichambua vizuri kile kinachoitwa Ilani na sera za CCM 2025-2030. Utakuja na jibu moja tu kwamba, waandaji wamechomoa chomoa kwenye Ilani na sera zilizotumika zamani, wakaunda kakijitabu haka wanakokatumia Leo kuomba kura. Waziri Mkuu wa zamani, marehemu Edward Lowassa aliwahi kuonya akiwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa

    Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ngoma (wimbo) wa "wembe kupita ule.... ushindi" ni kali balaa, niko hapa nasikiliza, nambari one ni CCM

    Kula chuma hicho ndugu mtanzania. Miezi miwili ya burudani
  7. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania “Anzia Ulipo” inaweza kuwa ni moja ya ngoma kali ya Chino Kid

    https://youtu.be/Zy-ulZ9MyuU?si=Tz-O32qrJWjNpy_N
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Ngoma bado mbichi UWT K'njaro, wagombea walioenguliwa waanika mtandao wa rushwa

    Moshi bado unaendelea kufuka ndani ya Jumuiya ya wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)baada ya wanachama wake walioenguliwa katika kinyang'anyiro cha kusaka nafasi ya ubunge wa Viti maalumu kufichua mtandao uliotumika kutawanya rushwa kwa wajumbe . Miongoni mwa wanaotajwa kutawanya rushwa kwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lawama dhidi ya Kikwete ni halisi ama tunacheza ngoma tusiyoijua?

    Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake? Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

    Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama. Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari...
  11. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Hivi Hassan Rehan Bichuka alishawahi kuhudumu Msondo Ngoma?

    kwenye wimbo "Demokrasia ya Mapenzi" nasikia sauti ya Bichuka na kina Moshi William. Ni kweli Bichuka alishawahi kuitumikia Msondo?
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ngoma bado nzito na hivi sasa ni saa 4 usiku

    Ukimya watawala masikio Dodoma Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea kutoka saa 11 jioni mpaka saa tatu na nusu usiku ila mpaka sasa saa nne na nusu usiku hakuna taarifa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makelele ya ngoma usiku wa manane

    Wakuu habari zenu. Hii ni saa nane kama kasoro dakika 10 usiku, Nimehstuka usingizini,Nimeshtuswa na makelele ya NGOMA .yaani ni kama kakikundi cha watu. wanapita na wanaongea na wanapiga hiyo NGOMA. Hiyo ngoma inakelele sijawahi sikiia.Ni kama wanapiga debe hivi. Baada ya...
  14. albab

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnachezeshwa ngoma msiyoielewa. Wapigaji ni muwaonao hawana akili kila siku

    Kesi inaendelea mahakani... Mzee wa kanisa anajitokeza anaongea mengiiii anawapoteza na mnamuamini kisha anapotea ghafla. Anaibuka balozi mtu ambae amezungukwa na hao watu Kwa Kila analofanya, anapoenda na anaowasiliana nao nawapindua na mdundo mpya🤣🤣🤣 woooooote wanafuata!! Anaibuka Mzee wa...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Fabrice Ngoma apigwa 'Thank you' na Simba SC

    Klabu ya Simba Imempa rasmi Thank you Fabrice Ngoma Baada ya Kuitumikia simba Kwa Misimu Miwili Mfululizo. Asante Fabrice Ngoma kila la heri
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Bonge la Ngoma: Nikki Mbishi Fit Mama. Sikiliza mwenyewe hapa

    https://youtu.be/WDTZHBAdsv4?si=NlySPzTCFWaIXiUd
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye nayecheza ngoma isiyokuwa yake

    RAIS SAMIA ANACHEZA NGOMA ISIYOKUWA YAKE Katika historia ya Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa kipekee aliyeingia madarakani si kwa matakwa yake binafsi, bali kwa matokeo ya kikatiba kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Pombe Magufuli. Kwa kinywa chake mwenyewe, Samia aliwahi...
  19. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Rhumba na Zouk kwa wanawake na wanaume, kuna wa kumfikia Oliver Ngoma???

    I salute you kinsmen. Mimi sio kijana wa zamani kwamba najua nyimbo za zamani hasa hizo rhumba sijui zouk ila nikiri nilizipenda nyimbo hizi kutoka kwa mzee wangu ambaye alikuwa anazipenda sana . Sasa nimefuatilia sana nikaja kugundua huyu bwana Oliver Ngoma hakuna mpaka ambaye atavunja...
  20. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

    Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ... Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
Back
Top Bottom