Breaking News Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel

Breaking News Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,252
Reaction score
9,311
Wadau hamjamboni u. 6 minutes ago
Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel - Channel 12

Israel's Channel 12 has released a video that purportedly shows a synagogue in southern Israel targeted by an Iranian missile attack. pic.twitter.com/G4v0MLy8W4

— Iran International English (@IranIntl_En) June 15, 2025
 
UsitumieWadau hamjamboni u. 6 minutes ago
Iranian missile attack hits synagogue in southern Israel - Channel 12

Israel's Channel 12 has released a video that purportedly shows a synagogue in southern Israel targeted by an Iranian missile attack. pic.twitter.com/G4v0MLy8W4

— Iran International English (@IranIntl_En) June 15, 2025
Usirudie Tena Kutumia Breaking News
Taarifa Yako Ni Ya Kawaida Sana
 
IMG_20250615_215252_288.jpg
 
Piga ni kupige lakini kwa mwendo huu kimahesabu ya kivita, Israel inaenda kushinda hii vita just in few days to come. Sababu kuu ambazo mpaka sasa zinaonesha kwamba Iran inaenda kushindwa hii vita maana yeye anapiga ilimradi tu wakati Israel inapiga maeneo muhimu kama kambi za jeshi, economic infrastructures na maeneo ambayo wameficha silaha kwa hiyo kadiri siku zinavyo zidi kwenda Iran itaishiwa nguvu ikiwa kama wataendelea na mapigano kama ilivyo hivi sasa.
 
Back
Top Bottom