news

  1. L

    Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria === NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022 Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji...
  2. N

    BREAKING NEWS: Enock Mwepu wa Brighton na Zambia hatacheza tena soka, kakutwa na Ugonjwa wa Moyo

    Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah! ======= BREAKING NEWS DARK DAY FOR ZAMBIA Shattered dreams, Sorry Computer Enock Mwepu has been forced to...
  3. N

    Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  4. Daily News na Bodi mpya: Lion climbing trees, kweli?

    Daily News leo, ukurasa mzima limejitapa na Bodi yake mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Habari, Nape Nnauye. Lakini ukurasa wa 6 kuna kichekesho cha kiingereza. Nadhani Editor jana aliondoka mapema na hakuhariri. Hivyo Bodi inapokelewa na hii heading "Mikumi National Park- home of lion climbing...
  5. N

    HABARI NZURI: Sporting Lisbon yatenga billioni 23 kwa Fei Toto

    Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako club ya Marseille ya France. Fei Toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa kutoka Ligi ya Afrika.
  6. J

    Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara

    BREAKING Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya Kisiasa na Kiuchumi na aliyekuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bwana Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara...
  7. Hivi neno breaking news wamesema tusiseme habari mpasuko ila tuseme hivi punde au punde si punde?

    Punde Si punde
  8. Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  9. N

    Good news kwa Yanga: Mvurugano Al Hilal waihofia Yanga, Ibenge kachanganyikiwa

    Baaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum siyo nzuri kwa vigogo wa team. Jana baada ya ushindi wa magumashi dhidi ya team dhaifu ya waimba...
  10. N

    Wanazuoni naomba kuuliza tofauti ya fake news na propaganda : case study of Russia ukraine war

    Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani. Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda" huchukua mkondo wake kama njia ya kuongeza au kupunguza hamasa ya mapigano kwenye uwanja wa medani...
  11. N

    Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  12. Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. --- Watu nane wamefariki...
  13. Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

    Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75. --- Mabingwa wa...
  14. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  15. Ajali Mbaya Goba Rd Masana, Magari (4) na Bodaboda Yagongana USO Kwa Uso!. Congestion ya Balaa!. Thanks God No Casualty, No Fatality!

    Wanabodi Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital. Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda...
  16. N

    Goodnews: Pape Sakho apenya 3 bora nominees goal bora

    Baada ya mchujo mkali hawa ndiyo watakaotengewa meza zao siku ya sherehe hapo morroco,may God bless POS abebe hii tuzo
  17. Kuhonga mwisho 10k

    Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala. Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.
  18. T

    Risasi zinarindima Kigamboni darajani

    Sijui nini kimetokea Tumeinama muda huu
  19. U

    News alert: Klabu ya Simba Yamtema rasmi Morrison

    Tafadhali fungua kiambatanisho chenye taarifa rasmi Kutoka Klabu ya Simba KaziIendelee Ubingwa kwa Wananchi uko palepale
  20. Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…