new

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania WANA SIMBA TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM

    NAJUA NAWAKERAAA OMBI LANGU TU SISI WANA SIMBA WOTE TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM crdb final HAWA SINGIDA WALICHOTUFANYIA SIO KIZURI KABISAA KABISAA sisi SIMBA MOJA
  2. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  3. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News President William Ruto makes new appointments, promotions in Kenya Defence Forces KDF

    Citizen Digital Live TV Live Radio search Change of Guard: President Ruto makes new appointments, promotions in KDF Joseph Muia By Joseph Muia Published on: June 27, 2025 12:59 (EAT) President William Ruto has made a new round of appointments and promotions in the Kenya Defence Forces...
  4. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Rais Trump avishambulia vyombo vya habari, CNN na New york times

    Maandishi yake mwenyewe....
  5. I

    JamiiForums Tanzania Muarabu kutoka Uganda anaongoza mbio za umeya New york

    Hivi tunavyoongea kijana wa miaka 33 mzaliwa wa Kampala Uganda Zohran Mamdani anaongoza mbio za umeya kwenye jiji kubwa duniani la New york ,akipambana na mpinzani wake meya aliyeshika kiti hicho awali Cuomo. Zohran ambaye hakuwa na uwezo mkubwa wa kifedha kama mpinzani wake huyo ambaye anapata...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei appointed Mohammad Karami as the new Islamic Revolutionary Guard Corps ground forces chief

    15 minutes ago Khamenei appoints new Revolutionary Guards ground forces chief Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei appointed Mohammad Karami as the new commander of the Islamic Revolutionary Guard Corps’ ground forces, state media reported Thursday. Karami previously led the Quds Headquarters of...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ms Mary Baine appointed as The New Executive Secretary of The African Tax Administration Forum (ATAF)

    03 June 2025, Pretoria —The African Tax Administration Forum (ATAF) is proud to announce the appointment of Ms. Mary Baine as its new Executive Secretary, effective 1 July 2025. Ms. Baine succeeds Mr. Logan Wort, who has served as ATAF’s Executive Secretary since its establishment in 2009. Ms...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu wanaikosesha serikali mapato halali ya kodi

    Wakati wa utawala wa JPM aliwahi kuwashukia baadhi ya wahasibu na wakaguzi wa mahesabu kwa kusababisha serikali kukosa mapato yake halali yatokanayo na kodi. Aliwaambia ana kwa ana kuwa wanahusika katika kutoa mahesabu yaliyokaguliwa ya aina mbili. Seti ya kwanza ya mahesabu yaliyokaguliwa ni...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Vits new model inauzwa kwa bei rafiki

    Wakuu gari hii vits inauzwa . Haina udalali ni gari ya dada yangu Price 8M Maongezi yapo kidogo Location DSM -Kigamboni Call 0658124288
  11. The introvert

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

    Habari za muda huu wana jamvi Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani? Ule utani wa jadi uko wapi? Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili. Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
  12. Ommy 7

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza nokia 106 rejareja na jumla

    Nauza nokia 106 kwa tsh24,000 bei ya rejareja na jumla tsh18,000 tupapatikana dar mikoani tunatuma pia +255682697124 Tunapatikana Dar-Mikocheni. Mikoani tunatuma na Dar delivery pia ipo ni juu ya mteja. Karibuni
  13. U

    JamiiForums Tanzania Dear Tanzanias, I'm certain Simba will be the new champion on Sunday so proud of my team

    Wadau hamjamboni nyote? This reminded me of James Hadley chase best novel "The way the cookie crumbles".
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Toyota wazindua Rav 4 new Generation: Ni Hybrid na EV tu, hakuna Engine kavu!

    Hatimaye Generation ya 6 ya Rav 4 imezinduliwa leo tar 21 May huko Japan, na imejumlisha re-design ya kuanzia muonekano wa nje na ndani, hadi performance. Kuendana na kasi ya ukuaji wa magari ya umeme, generation hii ya Rav 4 itakuja kwa options mbili tu, either full EV (BEV) au Hybrid (PHEV)...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

    Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kamishna WA mechi Ya FINAL Amekiri kupokea BARUA Mechi INACHEZWA NEW AMAN COMPLEX...TFF ..Simba msiwahadae WANASIMBA waendelee kununua TKT

    Kamishna WA mechi ya final Amethinitisha kupokea BARUA Mechi ya final INACHEZWA new AMAN complex Akihojiwa kamishna amesema UWANJA UKo vizuri na WAMEANZA matayarisho kwa AJILI ya final ya tar 25 Na meneja WA new AMAN complex amesema wamepokea BARUA na Toka mechi ya Simba hawajautumia kabisa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TASHICO: Maboresho ya Meli ya New MV Victoria yapo hatua za mwisho, tutatoa tamko hivi karibuni

    Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025 na yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni. Mei 11, 2025 Mwanachama wa...
  20. Vitu Vingi

    JamiiForums Tanzania New 20+ Job Vacancies From Ajira Portal May 2025

    Are you ready to make a meaningful impact in Tanzania’s education, fisheries, livestock, and municipal sectors? The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Handeni Town Council, Fisheries Education and Training Agency (FETA), Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO), and Livestock...
Back
Top Bottom