new

  1. JamiiForums Tanzania Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

    Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu? LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
  2. JamiiForums Tanzania Mabasi 38 ya kampuni ya New Force yapigwa stop na LATRA kusafiri usiku, kuanza huduma saa 12 asubuhi

    Kampuni ya usafirishaji abiria ya NEW FORCE yapigwa stop leo kuendelea na safari zake baada ya kupata ajali mfululizo na kuthibitika kuwa wengi wa madereva wao hawajathibitishwa na mamlaka hiyo. ======= Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta ratiba za saa 9.00 alfajiri na saa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania New Force yapata ajali Kitonga

    Mapema leo Julai 2, 2023, eneo la KITONGA imetokea ajali ya Bus la Kampuni la NEWFORCE, tusubiri taarifa kamili kutoka mamlaka husika.
  4. W

    JamiiForums Tanzania New software list

    WELCOME TO INTRAGRAPH SMART PLANT V P&ID 11. 0.0.0907 (2019) Smart plant Intergraph P&ID is vastly different from graphic-driven P&ID solution today. In this software the Latest Version allows you to create Ducting and Instrumentation Diagrams (D&IDs). A new setting in the AutoCAD configuration...
  5. JamiiForums Tanzania Not new member

    Nimekuja na id hii kwa malengo maalum humu ndani Anyway nikaribisheni tu maana nimekuwa nanyi for 3 years now. Shukran sana
  6. JamiiForums Tanzania Hello jeiefers, new member hiya

    Hello, Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi. Asante
  7. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Brand New Redmi Note 12 Pro+ 5G

    Redmi Note 12 Pro+ Color: Blue RAM: 8GB Storage: 256GB Network: 5G Price: Tsh 750,000 Location: Kijitonyama Brand ipo sealed kabisa Whatsapp: 0714812151
  8. K

    JamiiForums Tanzania Chumba master, jiko ndani Kigamboni, Magogoni [New] πŸ’₯

    Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
  9. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu.. Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa.. Hongera sana mkurugenzi Mpya...
  10. JamiiForums Tanzania Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

  11. N

    JamiiForums Tanzania Member mpya! Naamini tutalishana madini

    Hodi bandugu Nawasalimu kwa jina la tanzania me mgeni wenu naombeni mnikaribishe ndani ya nyumba yenu Bora kabsa tanzania mzima. Nyumba yenye wazee wa busara na vijana wengi wa hovyoo, me ni kjana wa faida. Naimani mtanirisha madini nami ntawarisha yangu pia. Asanteni sana
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Wish New Model

    Picha: Toyota Wish New Model Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro. So iwe inatumia mafuta vizuri na pia comfortable kiasi flani. Nina gari kubwa ambayo safari za kila weekend na foleni ya kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupata new contact lini?

    Hellow african wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini? Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani? Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
  14. JamiiForums Tanzania Marafiki, mi ni new member

    Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
  15. G

    JamiiForums Tanzania A new member is here

    Hello, am new here. Nafurahi kuwa hapa, I think nitajifunza mengi hapa JF. Thank you.
  16. JamiiForums Tanzania New AI Bot 'ChaosGPT' aims to destroy humanity and establish global dominance

    A new artificial intelligence bot aims to destroy humanity and establish global dominance, according to a recent report.The question is whose dominance.This is obviously its' makers and handlers:the NWO Cabal and Lucifer. An experimental AI bot was tasked by its programmer with destroying...
  17. JamiiForums Tanzania New member 😁😁😁😁

    Wakuu za sahizi Nimekuwa nanyi since 2021 December leo nimeamua kujiunga rasmi 😁😁 Mnipokeee please
  18. JamiiForums Tanzania New Order is real. It is here to stay

    Wakuu nimekaa nikatafakari kiasi kuhusu mwenendo wa dunia yetu hii. Tunaishi kwa matukio. Dunia bila matukio, yawe mazuri au mabaya haijakamilika. Sasa wapo ambao wanatengeneza hayo matukio na wapo ambao wanaishi kulingana na hayo matukio. Wengi wetu tunaishi kulingana na matukio hayo. Wachache...
  19. JamiiForums Tanzania Janeth Mahawanga ametembelea Kituo cha Watoto Yatima cha New Faraja Orphanage Center

    MHE. JANETH MAHAWANGA ATOA ELIMU KUPINGA UKATILI WA WATOTO NEW FARAJA ORPHANAGE CENTER Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation, Mhe. Janeth Elias Mahawanga na Taasisi ya Ejaz Bhalloo Foundation pamoja na Jeshi la Polisi kutembelea...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Watimua kocha Wao wa timu ya wanawake

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili . Uongozi wa Yanga unamshukuru Kocha Nkoma kwa kazi yake kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu yetu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…