nenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kama Una Akaunti ya Mitandao ya Kijamii Uliyoisahau au Hutumii Tena, Nenda Ukaihakiki Mara Moja

    Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi. Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
  2. Billion Dolar

    Kama wewe ni mtumish wa umma nenda kakope benki utanishukuru baadaye

    Wakubwa nimewaza tu kwa sauti tunakoelekea mambo yanaenda kuharibika pesa itakuwa adimu sana na pengine serikali ikashindwa kulipa mishahara, ikitolea hivyo mabenki yatapoteza imani na watumishi hivyo hawatakopesha. Ukikopa sasa hivi anguko la uchumi likitokea ukutwe una ka hela unaweza...
  3. Jidu La Mabambasi

    Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  4. kavulata

    GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

    Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni...
  5. Expensive life

    Hisia zangu; nakukata huku nenda kule kagombee uprezidaa nitakupa billion’s of money.

    Wakuu, ni hisia zangu tu,wamba wamechekecha wakaona kuna mmoja inaonyesha raia wanamkubali, tufanyaje? Tutengeneze movie, kata huku nenda kule. katika zile 700 kuna kafungu kako.
  6. sameer0220

    Ukitaka kuoga matusi nenda kinyume na CHADEMA

    Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅
  7. Bueno

    Ukiumwa nenda Hospital acha kujifanya Daktari Mwanafunzi

    Wakuu, juzi kati hapa nilipatwa na kahoma nikawa sielewi elewi mwili wangu huu vipi. Basi mimi na JF Doctaz Jukwaa la Afya ni sehemu yangu ya kupokea maarifa mawili mawili matatu kuhusu magonjwa mbalimbali na Afya zetu, nikajikusanya nikaingia JF nikaanza kuandika dalili kwenye search box pale...
  8. K

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami kwa mabeberu!

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
  9. GENTAMYCINE

    Emil Mpanzu kwa Upuuzi ulioko Simba SC nakushauri kwa hizi Timu tatu kubwa ambazo zimeleta Ofa Kwako nenda na usibaki Simba SC kwani unapoteza muda tu

    Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana.... 1. KRC Genk 2. Brest FC 3. RS Berkane Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
  10. kalooo 25594

    Kalooist Nenda huko, utakua nazo na viatu kama havikutoshi tafuta ya kuvaliamo,Rasta wake up,this was a code from your culture

    Wanajamvi karibuni katika kalooist jamii. Mwili husitiriwa kwa mavazi,makazi na hiyo amani ya moyo.Katika jamii nyingi za kiafrika ni sehemu chache zilikuwepo na kuweza kuyamudu hayo, mfano huko vijijini ambako kipato,elimu na afya kama huduma ni kidogo ukilinganisha na mjini mara nyingi watu...
  11. Mganguzi

    Njiti ya kiberiti imetupwa kwenye petroli. Sasa ni Bishop Gwajima for president! Nenda baba, nenda

    Huenda ni mpango wa Mungu mtawala anapoanza kuwagawa watu mapema na kutoa vitisho, huenda ni Mungu kamtumia Gwajima kuyasema Yale ili maji na mafuta yajitenge!! Sasa gwajima asiingie ubaridi kabisa kabisa !! Kwa chama chochote ni gwajima pekee anaeweza kuleta balaa la mpambano wa kweli kabisa...
  12. Yoda

    Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  13. R

    Huu mjadala wa jamii gani nchini inaongoza kwa wasomi muumalize wenyewe, ingieni humu mjihakikishie wenyewe, kelele na kujisifu viwekwe pemebeni

    Muumalize wenyewe
  14. technically

    Polisi Tanzania tubuni mnaangamia kwa kokosa maarifa

    Police wanaotumika kuiba kula uwa ni wale duni, waliochoka wenye njaa Kwa walimu pia Lakini wanaonufaika ni watu wakubwa wanasiasa mafisadi Imagine unatumwa unaua unazika alafu aliyekutuma anakupa pesho ya laki moja Unanuka damu yeye aliyekutuma Wala hajawai kuua Polisi jitambueni sisi...
  15. kadiri kasimba

    Uliza chochote kwa lugha yeyote utajibiwa!

    Salamu wakuu! Leo nimeona nishee nanyi hii kitu, Fanya hv andika hii namba kwenye simu Yako +1 800-242-8478 Kisha Isave ujuavyo, Kisha nenda whatsup itafute, ukishaipata kwenye sehemu ya kutafuta majina ya namba ulizosevu, Anza kuchat nayo italeta jina chatGPT ukiwa unachat nayo! Hapo...
  16. kipara kipya

    Makamanda wamemuingiza chaka Lissu leo hii wanaomba kesi ipelekwe haraka kwenye hizo hizo mahakama zisizo na haki wanazolalamika miaka nenda!

    Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
  17. Crocodiletooth

    Mnyika nenda kasaini,kutakuwa hakuna tena suala la kuitafakari CHADEMA

    Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa, hakuna kitu kama hicho!, nasisitiza chadema haita bembelezwa au kuombwa ili itie saini, lake...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Bunge letu miaka nenda Rudi wanajadiri ujenzi wa barabara!! serious?

    Wakuu Nina miaka sisikilizi bunge na Jana nikabahatika kusikiliza Sina uhakika kama lilikuwa live au ni marudio ya miaka ya nyuma huko. Takribani dk 7 nikiwa mahali nasubiria kupata huduma zilitosha kabisa kujua kumbe tangu niache kusikiliza bunge Hadi Leo Bado vitu vilevile vinajadiliwa...
  19. tamu 3

    MWANETU NENDA SHULENI

    MWANETU NENDA SHULENI 1. Wazazi wako zamani, hatukuenda shuleni, Hapo kale tuamini, likuwa chache nchini, Tungelisoma jamani, mengi tungeyajueni, Mwanetu nenda shuleni, unoe wako ubongo. 2. Wazazi hatukupata, nafasi ya kwenda shule, Ujuzi tuliopata, sio mwingi huko kale, Kukosa shule twajuta...
  20. Pdidy

    Ukienda kununua mbao nenda na Mita yakoo binadamu wamekuwa Simba nwdays

    SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni Nenda na mtr yako..na usiwambie kama una MITA yako malizeni ku bargain sh ngapi kwa futi mkifika kupima...
Back
Top Bottom