sameer0220
Member
- Nov 10, 2024
- 21
- 37
Rangi nyeupe imeharibu hapo! Ingetiwa manjano ingependeza zaidiView attachment 3422358wenye kujua jina la hiki kiatu Lucas Mwashambwa Kesho anaenda karume kukitafuta
Kosa la manufacturerRangi nyeupe imeharibu hapo! Ingetiwa manjano ingependeza zaidi
Fara wwNa safari hii watatukana sana 😂
Sio leo tuu, n tangu enzi hizo 😂Fara ww
Vipi uoneshwe na ya ccm wakiwemo viongozi wao.Tatizo huwa ni nini hasa kwa wafuasi wa CDM kwamba ukiwauliza swali ili ujifunze unapewa matusi
Ukienda kinyume na maono yao unashambuliwa
NB mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtu huru😅