ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Unapata wapi ujasiri wa kufanya sherehe wakati ndugu zenu wanaonewa

    Hii ilikuwa Alhamisi na ijumaa iliyopita.
  2. Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

    Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora. Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote? Huyu ni mtu wa aina gani?
  3. B

    Pamoja na Eid, ndugu Waislam Tusisahau Corona Ingalipo

    Mabibi na mabwana hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Wengine leo na wengine kuanzia kesho. Yote kheri. Pichani ni kutokea Kigali Rwanda, sherehe za Eid katikati ya Corona inawezekana! Kunawa nawa mikono, social distancing + kuvaa barakoa hadi pale tume ya mama itakapotoa tamko rasmi, mdogo...
  4. Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

    Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
  5. Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  6. Kuna nini mpaka siku hizi ndugu hatutembeleani?

    Hivi wakuu nanyie mnaona kama mimi au? Mbona kama ile Tamaduni yetu ya kutembeleana haipo tena. Unajua ile tunakua, ilikua unasikia..Likizo hii tunaenda kwa Shangazi..kwa Baba mdogo. Kwa Mjomba... Kwa Bibi ...n.k Lakini siku hizi hii kitu haipo Au Mitandao yakijamii imechukua nafasi...yaan...
  7. Ushimen sikujui unijui ila nakuulizia huku ndugu yako!

    habari za jioni. samahani kama nawasumbua. nilikuwa namuulizia jamaa anaitwa Ushimen kama yupo humu. shida yangu ni kumsalimia tuu. sisi watanzania tumefunzwa utamaduni wa kujuliana hali hata kama hamjuani. kama unamfahamu na hayupo humu mpelekeeni salamu zake.
  8. M

    Hivi ni kweli Kenya ni ndugu wa damu?

    Naomba nianze na baadhi ya vituko wanavyo tufanyia wakenya hawa tunaojiita ndugu zetu wa damu, damu gani? Wakenya miaka ya 70 tena kupitia radio na televisheni ya taifa waliwai kumkashfu baba wa taifa Nyerere kwa kusema MCHONGA MENO AMESHINDWA KUONGOZA NCHI YAKE. Wakati Nyerere anatukanwa sisi...
  9. Mtu anaanzaje kumchukia ndugu yake?

    Nilikuwa naendesha gari langu kwa kasi, macho mbele bila kutazama tazama kushoto au kulia kwa barabara. Ndugu yangu aliniona akanisimamisha nimpe lifti lakini bahati mbaya mimi sikumuona nikampita. Tulipoonana uso kwa uso alikuwa amejaa hasira, akaniuliza kwanini siku ile alinisimamisha...
  10. S

    Sababu ya kung'ang'ania Muungano kwa ndugu zetu wa Tanganyika (Tanzania bara)

    Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...
  11. Ndugu zangu kwa mtiririko,umakini na hata namna vikao vyao huwa kwakweli napata tabu mno kuifananisha CCM na vitu vya ajabu!

    CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia. Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao. Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza...
  12. Ndugu zetu 'Wanajeshi' si tulishakubaliana kuwa hii tabia ya 'Kuua' Wake zenu kwa 'Wivu' wa Kimapenzi isijirudie tena?

    Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi. Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3 Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie...
  13. T

    Nini hatma ya Muungano wetu?

    Habarini wana ndugu, Binafsi ni mgeni katika uwanja huu awali ya yote ningependa kubisha hodi humu ndani. Mada yangu haswa ni kuhusu muungano wetu ambao tumekuwa nao kwa kitambo sasa. Linapokuja suala la muungano tumekuwa tukisikia swala la kuwaenzi waasisi wetu ilhali kuna mengi waasisi...
  14. Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  15. Ndugu zangu, nipeni neno la faraja

    Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa. Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
  16. Ndugu Lissu, ukitaka kurejea nchini rejea; usiweke masharti haina maana

    Habarini za jioni, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mara kadhaa nimeona katika mitandao Ndugu yetu,kaka yetu Lissu akizungumza kuwa atarudi Tanzania endapo jambo fulani na fulani litafanyika. Hii sio sawa kwa sababu zifuatazo: Kusema kuwa mukitaka nirudi basi mufanye...
  17. Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
  18. Ndugu wa mbali ni bora zaidi kuliko ndugu wa karibu

    Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!! Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia...
  19. F

    Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Wakubwa Shikaamooni Wadogo zangu Habari zenu. Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto. Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea...
  20. Hakuna Albadiri wala ndugu yake laana; wengi walilogwa

    Wakuu kwema! Zamani wazee wetu walikuwaga wajinga wengi wao walitishana mambo ya hovyo sana. Hakuna uwepo wa Albadili wala laana ya mzazi wengi walilogwa. Wazee wote wanajua hili kuwa hawana uwezo wa kumlaani mtu/mtoto akalaanika. Ninao ushahidi usio na shaka wa wazee waliowahi kujieleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…