ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Amesema anaenda kusalimia ndugu, baada ya kufika hapokei simu

    Njia nzima tunawasiliana, najua anaenda kwa ndugu, meseji yake ya mwisho ni kua amefika, baada ya hapo hapokei simu. ni nini kitakua kinaendelea ndugu zangu? Nimejiridhisha na hata aliempokea ni mtu ambae nilikua namtilia mashaka, inaonekana amepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Uamuzi mwingine...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya Restaurant inamshinda ndugu yangu

    Nina ndugu yangu kaanzisha biashara ya Restaurant na tayari imeanza kumshinda. Nilienda kufanya tathmini kidogo ili niweze kumshauri nikajikuta nashindwa cha kumshauri...ingawa makosa nimeyaona. Kosa kuubwa ni kumfanya mkewe ndo mpishi mkuu. Mapishi ya nyumbani kwao wameleta kwenye biashara...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwaweke watoto na ndugu zetu wanaopambana na ufisadi mikononi mwa Mungu; kuna familia zinalinda madaraka kwa kumwaga damu

    Kuna watu wameingia kwenye mfumo wa siasa na biashara wanaishi Kwa dili. Ukisikiliza bungeni ni kama vile wanafanya siyo Kwa Siri tena Bali wanafahamika na hakuna wakuwafanya chochote. Tumemsikia Msukuma kuhusu sakata stika za ushuru; anasema wazi kwamba kuna watu wanufaika na kwamba anaogopa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Invoices za ndugu na jamaa

    Kuwa positive na maisha mjini kuna faida. Nitaongelea hasara. Watu hafikiri kuwa kwa kuwa haulalamiki, you keep your calm and smile basi upo financially stable muda wote. Unakuta mtu anakuomba hela. Ukisema huna anaona umekataa kumbe you live positively na sio mtu malalamiko. Kuanzia Leo...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

    Nimeuliza baada ya kuona hii picha.
  6. JamiiForums Tanzania WASIWASI: Ndugu wa mzazi mwenza wa mchumba wangu, mwanamuitaje mchumba wangu?

    Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother. Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae. Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake. Na wazazi wake jamaa watamuitaje mchumba wake. Na yeye pia ana Dada na kaka. Ushauri naamni jf wapo wazoefu...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  8. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri Kivuli wa Madini - ACT Wazalendo, Ndugu Francis Mkosamali

    HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA MADINI-ACT WAZALENDO NDG. EDGAR FRANCIS MKOSAMALI KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24. Utangulizi. Katika mwendelezo wa kufuatilia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea kupitia, kujadili na kuidhinisha bajeti...
  9. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuzulumiwa na ndugu kisha ukaona Mungu akitenda maajabu yake?

    Nakumbuka 2018 niliacha kazi ya house boy nikarudi kijijini kulima, wakati huo tayari nilishatanguliza pesa ya kukodi shamba heka 70000 moja na kulima na trecta 45000 kurudia na ng'ombe 2500 mbegu 35000 ukijumlisha na zakutolea na mpokeaji inakuja kwenye 200000. Sasa muda wa kurudia na n'ombe...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu yetu yupo kwenye mtego nchi moja ya hapo Ulaya, tunamtoaje?

    Ushauri kwa ndugu yetu ambaye yupo masomoni nchi za Ulaya. Ndefu ila nafupisha kwa kadri ya uwezo. Bro.Wangu anasoma nchi moja hapo Ulaya! Huyu ni brother alienda Europe 2020 kimasomo katika fani ya afya hivyo amefanikiwa kupata chuo kizuri na kuanza kuishi maisha ya hostel. Hivyo baadae...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita, nina uwezo wa kutumia computer vyema

    Habari zenu ? Matumaini yangu nyote ni wazima wa afya mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25,elimu yangu ni kidato cha sita nina uwezo wa kutumia computer vizuri sana na nishafanya kazi za research kama research assistance na mashirika kama MDH na NACP. Nipo hapa wakuu kuomba msaada wa kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya pindi tu unapopokea taarifa za msiba wa mzazi wako au ndugu yako wa karibu

    Habari zenu wana JF wenzangu Bila kupoteza muda ndugu zangu inajulikana wazi kuwa kila binadamu yupo hapa duniani kwa siku zake maalum za kuishi, na baada ya siku hizo kuisha atakufa na kurudi kule alipotokea. Sasa basi.. ingawa kifo kipo lakini hakuna anaependa kufa au kufiwa. Hii ni kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

    Baba yangu alifariki wakati nikiwa Mtoto mchanga hivyo nililelewa na Mama tu naye hakuwa na uwezo hivyo nilisomeshwa na wasamaria wema. Mtu pekee Aliyekuwa na uwezo wa kiuchumi ni dada aliyeolewa na yeye hakutaka mazoea kabisa. Kwa jinsi maisha yalivyokuwa magumu, nilipofika Chuo nikawa...
  14. JamiiForums Tanzania Tukio la ndugu wa Familia kufariki kwa moshi wa jenereta, ndugu adai marehemu walipigwa kabla ya vifo vyao

    Kufuatia tukio la watu wanne wa familia moja kupoteza maisha katika mazingira ya utata, ikidaiwa kuwa ni kwa sababu ya kuvuta moshi wa jenereta, mapya yameibuka. Mmoja kati ya ndugu wa familia hiyo iliyokuwa ikiishi Temeke jijini Dar es Salaam, amedai kuwa tukio hilo limetekelezwa na watu kwa...
  15. JamiiForums Tanzania UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi Kila siku wanapanga...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

    Asalaam alykhum. Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa. Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu. Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

    Amani iwe nanyi Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo. Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Shemeji yako aliyemuoa dada yako sio ndugu yako

    Kwa mila na Desturi zetu za Kitanzania. Jamaa aliyeoa dada yako hata siku moja SIO NDUGU YAKO. Hii kitu inote kwa sababu kwanza kabisa dada yako akifariki jamaa anaenda kumzika kwao. Watoto wote anaandika majina yake. Mali zote anaandikisha either MAMA YAKE au Mdogo wake wa Kiume au watoto...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

    INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu. Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
  20. JamiiForums Tanzania Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers

    Wazee nipeni mbinu za kuongeza YouTube subscribers Nitumie njia gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…