Invoices za ndugu na jamaa

Patriot3

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
312
521
Kuwa positive na maisha mjini kuna faida. Nitaongelea hasara.

Watu hafikiri kuwa kwa kuwa haulalamiki, you keep your calm and smile basi upo financially stable muda wote. Unakuta mtu anakuomba hela. Ukisema huna anaona umekataa kumbe you live positively na sio mtu malalamiko.

Kuanzia Leo ndugu akinipigia simu
Ndugu...mambo
Mimi.. Poa Ila hali tete sana.
Defence mechanism๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Usinitafute ukiwa huna hela, namba yangu ilikuwa hiyohiyo kipindi una hela
 
Kumbuka na wewe ulipiga simu za kuomba hela

Sasa unataka kulipiza mkuu?
Mimi hadi wazazi walikuwa wanashangaa Nikiwa shule. I never beg for money. Hadi wao wakitaka kunipa. Ila kuna watu wamejujengea kuishi kwa Kuomba omba hata akiwa nayo. Mimi nasaidia where possible. Hata wiki mbili zilizipita mshikaji kajikopesha 50k kwamba atarudisha in 4 days. hata sasa hajafanya hivyo. Kawaida sidai ila najua hatarudi tena
 
My time is coming ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mimi hadi wazazi walikuwa wanashangaa Nikiwa shule. I never beg for money. Hadi wao wakitaka kunipa. Ila kuna watu wamejujengea kuishi kwa Kuomba omba hata akiwa nayo. Mimi nasaidia where possible. Hata wiki mbili zilizipita mshikaji kajikopesha 50k kwamba atarudisha in 4 days. hata sasa hajafanya hivyo. Kawaida sidai ila najua hatarudi tena
Maana halisi ya hustler ni kumkata mtu asiyerudisha alichoazima kutoka kwako
 
Hahahah, eti hali tete sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hyo ndo huwaga naitumia mtu anakuchek mambo vp ..? Ukimjibu tu fresh sjui ww anaanza dah mambo magumu ndgu yngu acha hapohpo namgeuka nampa na mm shida zangu mara nadaiwa
 
Back
Top Bottom