The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,905
Nina ndugu yangu kaanzisha biashara ya Restaurant na tayari imeanza kumshinda.
Nilienda kufanya tathmini kidogo ili niweze kumshauri nikajikuta nashindwa cha kumshauri...ingawa makosa nimeyaona.
Kosa kuubwa ni kumfanya mkewe ndo mpishi mkuu.
Mapishi ya nyumbani kwao wameleta kwenye biashara.
Chapati ngumu nk.
Nafikiri kama mtu unataka kufanikiwa biashara kama restaurant inabidi ujifunze Kwa wanaofanya ikibidi utafute mtu kutoka kwenye industry hiyo.
Kuamini Tu kuwa mapishi yako yatakubalika na kila mtu ni kuweka mazingira ya Ku feli.
Asilimia kubwa ya wanaofanya biashara wamejifunza Kwa watu wanaofanya biashara hizo.
Wapo watu wamefanya kazi za upishi Hadi kwenye hoteli kubwa za nyota tano halafu ndo wameemda kufanya biashara zao binafsi za vyakula wanafanikiwa.
Kingine usafi ...usafi wa vyakula vya biashara ni tofauti na vyakula vya majumbani.
Nyumbani mnaweza tumia wote kijiko kimoja kukorogea chai.... kwenye biashara ni tofauti kabisa.
Nafikiri kabla ya mtu kuingiza mtaji ni vizuri kufanya research ya kutosha ...kuna biashara zinaonekana nyepesi Kwa nje lakini ngumu Sana kufikia standard ya kuvutia wateja.