Kiongozi Mkristo kuingia Msikitini na kukosea hivi ni sawa kweli?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,773
21,272
Asalaam alykhum.
Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa.

Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu.

Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio pembeni na nyuma hawana mbavu!.

View attachment 2593207
Siku mkizungumzia dini za Upendo, Buddhism, Paganism, Rastafarians na Hinduism utanistua maana sipati majibu sahihi kwanini Uislamu na Ukristo unapigiwa sana promo mitandaoni badala ya kujipiga promo zenyewe huko mitaani ?!
 
Alitakiwa ajifunze kabla maana sio wote watatafsiri vizuri.Hapo Ndio tofauti na viongozi wengine.Mfano Fm Pres Uhuru Kenyata.Kwa kuheshimu tu Adhana akijipatia sifa kuwa ni muheshimu Dini na Imani za watu wengine.
 
Asalaam alykhum.
Nimefuatilia sana hikinkipande cha sinema nikaishia katikati, kucheka nataka, kuwa serious nashindwa.

Nikaona siyo sawa, kama mtu huwezi kuenenda sawa sawa na utaratibu wa ibada basi bi bora kutulia tu.

Hebu mcheki yule mwamba VP Gachagua anachofanya kwenye 01:36 hadi walio pembeni na nyuma hawana mbavu!.

View attachment 2593207
Tafuta jambo jingine, tukitaka sinema tutaenda vibanda umiza, sinema ni igizo unataka tujadili nini!
 
.
20230412_213214.jpg
 
Back
Top Bottom