ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Makubi awakumbusha Watumishi MOI kuzingatia ukarimu kwa Wagonjwa na ndugu zao wanapofika katika taasisi hiyo

    Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Prof.Abel Makubi amefanya kikao cha kimkakati na watumishi wa kada za wahudumu wa afya na huduma kwa wateja na viongozi wao kwa lengo la kuboresha huduma kwa wateja wanaofika MOI kupata huduma. Prof. Makubi amewapongeza wahudumu wa afya wa Taasisi ya MOI kwa kazi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

    Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi 👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi) 👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi) Profesa Assad ametoa...
  3. JamiiForums Tanzania Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi. Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zangu wa PCB mtakaokosa nafasi vyuo vya afya jaribuni kozi nyingine

    Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu. Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Niliwahi Kushauri hapa kwa kuja na Thread kuwa Ndugu msipende Kusafiri pamoja katika Gari / Basi Moja nikapuuzwa

    Najua kuwa Kifo hakichagui, ila Kupunguza athari yake Kijamii inawezekana kama tu ukiwa makini. Hivi kwa mfano Ndugu mpo 30 mnatoka Dar es Salaam kwenda Shughulini Mkoani Dodoma kwanini nyote mpande Gari / Moja? Kwani mkijigawa Watu Watano Watano mpande Gari / Basi tofauti tofauti kwenda huko...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

    Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu. Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
  7. JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu na wengine sita wakamatwa usiku wa manane wakihisiwa kujifunza ugaidi na hatujui waliko hadi sasa

    Habari ndugu wana JF, Jamani hii nchi kamatakamata haijaisha. Nina kaka yangu ambae ni wa kwanza kuzaliwa, miaka 31 amekamatwa usiku wa manane yapata wiki mbili sasa na watu tunaowahisi ni Usalama wa Taifa. Walienda wakavunja komeo la mlango wake wakaingia ndani. Walikuwa na bunduki...
  9. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

    Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha. Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
  10. JamiiForums Tanzania Ombi kwa vijana ambao wapo katika ndoa, watoto ndio ndugu zako

    Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujipenda wenyewe. Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na changamoto nilizozipitia mimi na zengine tunaziona kwa ndugu zetu au familia zilizotuzunguka. Maana vitu...
  11. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Mwanajeshi apiga Risasi Ndugu na Waombolezaji kwa Kumzika Mwanae wa Kiume kabla hajafika

    Hiki Kiherehere kipo sana tu na Maeneo mengine labda alichofanya huyu Mwanajeshi kitakuwa Funzo Kwenu. Taarifa Kamili: Aljazeera.com === A soldier in the northeastern Democratic Republic of the Congo opened fire on family members and others who had buried his son before he could arrive home...
  12. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

    "....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani" -Kaveli-
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sugu yuko wapi?

    Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nahisi naibiwa sio kwa miamala hii. Wenye ujuzi mnisaidie

    Wasaalam! Poleni kwa majukumu, moja kwa moja kwenye mada naomba mnisaidie kwa mnaojua hizi aina za miamala (kwenye picha) Kuna huu muamala CRDB wanaita TMS Cash Withdrawal Desc. Persanal Cash withdrawal Naomba kujua ni muamala wa aina gani maana kuna kiasi cha pesa 300k nilipokea, nasikutoa...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Ndugu wawili kunyongwa kwa mauaji ya kikatili

    Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma, imewahukumu adhabu ya kifo, wakazi wawili wa kijiji cha Msebei katika Wilaya ya Uvinza baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua kikatili mkata kuni kijijini hapo kwa kutumia shoka. Mtuhumiwa mkuu wa mauaji hayo, Hamis Nzovu ambaye alimkata marehemu...
  16. JamiiForums Tanzania Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

    Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi. Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali. INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

    Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza. Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

    Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe, Haya ni mambo...
  19. JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha ukaamua kuondoka kwenu au kwa ndugu na kwenda kujitegemea?

    Katika maisha kila mtu ana stori yake kuhusu hatua aliyofikia au iliyofanya akaamua kuishia maisha yake. Mimi niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 20 nikiwa namalizia Chuo. Na sababu ilikuwa tu kutaka kuwa huru na maisha yangu na kutofuatiliwa na wazazi kuhusu mambo yangu! Especially (Videmu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia mwanaume anamuamkia mwanamke ambaye si ndugu yake kama tu amemzidi miaka zaidi ya 20 na si chini ya hapo

    Kama mwanamke amekuzidi miaka si chini ya 20 na sio ndugu yako usimuamkie mwambie tu mambo au za saa hizi imetoka hiyo Mwanaume wewe ni kiongozi na kusema shikamoo ni kama unamwambia nipo chini yako nakunyenyekea na wanawake ndo wanabidi wawe chini yetu. Usiamkie we jamaa utakosa mbunye hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…