Mwalimu alishalionya Taifa, kuwa ukiona kuna watu wanapita na kupiga kampeni za kumtaka raisi aongezewe muda, kimsingi wanakuwa wanapigania matumbo yao maana hawana uhakika kama raisi ajaye atawapa nafasi walizonazo sasa.
Kwa muda mrefu sasa Spika Ndugai amekuwa akibehave kama kikaragosi fulani...