ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Nataka hii iwe nyumba ya ndoto yangu. Nani anaweza nisaidia makadirio?

    Nyumba ya 5 bedrooms Master kubwa 1 Self 3 Single 1 Sitting room, dining & kitchen Study room Laundry Public toilet Store Je kila kitu mpaka inayooneka hapa maybe na finishing ya vitu kama masinki nk. Inaweza gharimu kiasi gani?
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ndoto ni nini wadau?

    Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni tongotongo,ndoto ni nini?
  3. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Tales from another World: Uzi maalum wa kusimulia ndoto tunazoota (Just for fun)

    Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo kwenye ulimwengu wetu huu wa kawaida. Mengine ya kufurahisha, kushangaza na hata kuogofya. Hivyo basi...
  4. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sijawahi kuwa na Ndoto Ya Uenyekiti CHADEMA- Lissu

    Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuipita Marekani kwa utajiri ni ndoto ya kila taifa kubwa ila ki uhalisia ni kazi ngumu sana

    Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20. Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20 harafu eti wanaibuka watu fulani wanasema China atakuja kuipita Marekani 2060 Hiyo ni alinacha kama...
  6. Mkongwe03

    JamiiForums Tanzania Ukiota ndoto kama hii huwa inamaanisha nini?

    Nimelala nimeota amenitokea nyoka mkubwa sana alafu akaanza kupaa juu yani anakwenda mawinguni. Anajua hii inamaanisha nini aniambie..
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

    Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema. Ni dhahiri, hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu alivyoharibu ndoto zangu

    Mimi ni kijana nimeajiriwa moja ya kampuni kubwa hapa Tanzania.Nafanya kazi na mwanamke mmoja hivi na Mume wake.Wote wamenipokea kazini. Mume wa huyo dada ni kicheche balaa ni mtu wa totozi.Hizo ni story nilipewa baada ya kukaa nae miezi miwili ofsini.Mke wake ashamfumania mara kibao na...
  9. FK21

    JamiiForums Tanzania Nimeota mganga ananiambia sina muda mrefu nitafakufa. Nini maana ya ndoto hii?

    Leo usiku wa saa 8 NIMEOTA NDOTO mtu ambae ni mganga akiniambia kuwa soon nitafariki Sababu ni kuwa watu wanaoniroga wamejua kuwa najua kuwa wanaoniroga so wanafanya juu chini wanizime mapema
  10. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Yemen ni mwendelezo mwingine wa ndoto ya jihad yoyote atakaye pata mamlaka ili aridhishe hamu yake ya kufanya maafa. Syria itafata subiri wapate pesa.

    Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maono- ndoto kuhusu Mbowe

    Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe. Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nimeota mzee wa ' jalalani' akiwa Makamu wa Chama fulani baadae nikasikia sauti za be 'ndiye' ndoto ikakata

    Usiku mmoja nilipata ndoto ya ajabu ,katika ndoto hiyo nilimuona mzee mmoja maarufu akiwa ni makamu wa Chama fulani. Baadaye nikasikia minong'ono kwa sauti ya chini sana sikufanikiwa kusikia kila neno lakini nilifanikiwa kusikia neno ' ndiye' nilipotaka kuuliza ndiye' Ina maana gani ndoto...
  14. Poor Brain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

    Wakuu nimeota nafanya mapenzi. Na huyo mtu naefanya nae alipaka asali kwenye naniliu yake akawa analazimisha mimi et nilambe. Naniliu yake. Wakuu hi inamaana gani. Alafu huyo demu alikua mkali sana aiseee. Wakuu nafanya nn hi hali ijirudie tena. Maana hata sikumfanya vzr Mwenye simu hayupo.
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli unaweza kumpata mwanamke wa ndoto zako kwenye klabu ya usiku? Nataka nijaribu bahati yangu leo

    Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku. Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku. Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa kadhaa ndani ya jiji la Dar es salaam nione huenda nikakutana na mwanamke wa ndoto zangu. Wakuu...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani Awaasa Wahitimu Kidato cha Nne Kusimamia Ndoto Zao

    Jumla ya wanafunzi 134 wavulana 72 na wasichana 62 wamehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari katoro day huku wakitakiwa kusimamia ndoto zao, ili kukabiliana na changamoto za maisha, jamii, familia na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa...
  17. Dilan

    JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zina maana gani?

    Kuna wakati usiku nikilala huwanaota kama niko shule yaani utakuta naota nasoma, nachapwa au nacheza michezo mbalimbali. Nikiota nafanya mtihani, kunanyakati huwa naota nimefaulu na wakati mwingine naona mtihani mgumu.
  18. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna ndoto Huwa ni za kweli

    Kuna muda unaweza ukaota timu Fulani imefungwa na inafungwa kwelii, Kuna muda unaota Hadi idadi ya magoli na inakuwa hiyo hiyo, kumbe ndoto Zina Siri ndefu!!. Niliotaga utopolo amepata vipigo vitatu mfululu 😂 na ikawa kweli , hata hii ya 2 - 0 ilikuwemo. Nipo naskilizia ya Algeria kwa udi na...
  19. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Uhasama wa koo au familia unaweza kuharibu ndoto za watoto na wajukuu

    📖Mhadhara (69)✍️ Zipo familia au koo ambazo hazina maelewano miaka nenda'rudi. Yaani ukoo fulani hauelewani na ukoo fulani, familia fulani haielewani na familia nyingine, au ndani ya ukoo mmoja hakuna maelewano kati yao. Gomvi nyingi za familia na ukoo zinakwamisha mafanikio kwa watoto na...
  20. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kushika Dola ni ndoto za mchana

    Hiki Chama wamelenga kushika dola? Lini? Kwa mikakati ipi?
Back
Top Bottom