Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini.
Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
Mienendo ya sasa ndani ya chama tawala CCM, Wapinzani wa Kweli, Wanazuoni, Jumuia ya kimataifa na Taasisi zake kwa pamoja ni kuwa Uchaguzi unaweza usifanyike Oktoba. Na kama utafanyika basi lazima reforms za muhimu zitafanyika.
Sasa tunajiuliza, wale waliokuwa wana mkebehi Lissu, Heche na chama...
Zile ndoto za kukabwa, mara kukimbizwa halafu hauwezi kukimbia au kuanguka toka juu halafu ukifikachini huumii n.k zimekoma maramoja baada ya kuanzisha hii kampuni yangu ya kuchezesha kamari.
Nampongeza sana rais wetu. Sasahivi mkiliwa pesa za kubet mnakuwa mmenichangia pakubwa sana. SIJATAPELI...
Tundu Antiphas Mughwai Lissu alizaliwa tarehe 20 Januari 1968 katika kijiji cha Mahambe, wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida. Alikulia katika familia ya kawaida ya wakulima, ambapo maadili ya elimu, nidhamu na haki vilikuwa msingi wa malezi yake.
Elimu yake ilianza Mahambe Primary School...
Sijui hutu tumjamaa tulikuwa tumetumia nguvu za giza au tulikuwa tumemwaga upupu kwenye kila kituo cha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo alianza kuwasha mwili mzima. Jinsi alivyokuwa anakikaribia ndvyo alivyozidi kuwasha na kumfanya arudi nyumbani.
Ukiondoka kwenye kituo kuwashwa kunaisha...
Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri.
1. Endapo kuna mtu unayemjua kukuwinda kwa Bunduki au kisu
(When someone you know chasing you with a Gun or knife)
~Haijalishi mtu huyo unamahusiano gani mazuri ni rafiki au ndugu yako, kaa ukijua ana mpango mbaya juu yako, maybe akutumie kwa manufaa yake...
Wacha tuseme ukweli, siku hizi watu wakiambiwa "nimeajiriwa", wengi hawachangamkii kama zamani.
Lakini ukisema "nimejiajiri", jicho la heshima linapanda — watu wanakuona kama Elon Musk au Bakhressa wa kitaa! 😂
Lakini ukweli ni upi? Kazi ya kuajiriwa ni kifungo cha ndoto zetu au ndio njia pekee...
Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto.
Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape.
Nikawa nawapa kidogo ila bado wanataka na wananifuata.
Wadau nini maana yake
Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee
Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo
Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama leo hii Kungetokea muujiza Wa Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kufufuka kutoka Kaburini Butiama alikofumba macho na alikolala Usingizi wa Milele na kurejea hapa Nchini na kutazama yale yanayofanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo...
Ingawa mimi si muamini sana wa ndoto niotazo,nikiamini kuwa ni mambo ya kawaida tu ila juzi juzi hapa kuna jambo limeniacha na maswali.Niliota ndoto nimekutana na Nyoka wa kijani uso kwa uso,wakati tunaangaliana na nikiwa nimepoteza matumaini ya kumuepuka mara nikagundua yule Nyoka alikuwa...
“Ndoto zako hazistahili gari mbovu.”
Hii ndiyo kauli kuu kutoka kwa mwanafikra kutoka mwaka mwaka wa mbele, anayerudi kuandikia kizazi cha sasa — kizazi kilichojaa ndoto kubwa, motisha kali, lakini miili dhaifu.
"Leo nataka nikushike mkono kwenye jambo linaloonekana dogo sana — lakini ndilo...
Ndugu wanajamvi wa JamiiForums,
Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia...
"Wanasiasa wengi wa upinzani Afrika ni kama watoto wa Kitanzania waliokuwa na ndoto za kuwa madaktari, marubani, wahadisi n.k., hadi walipopewa hesabu ya kidato cha pili, wakaamua bora wauze chipsi."— Alloyce, P.R. 😄
Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out
In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
Salaam, Shalom!
Ndoto ni Nini?
Umewahi ota ndoto ukadhani unaota?
Usilolijua ni kuwa, hakuna kinaitwa kuota ndoto!
Ukisikia Imeandikwa akalala, Kisha akaota ndoto, SI maigizo, ni tukio halisi la wewe mwenyewe kuona kwa macho ya Roho Katika ulimwengu wa Roho.
Mtu alalapo, afungapo macho ya...
Mwigulu ajivunia kutimiza ndoto ya muda mrefu kusaini noti ya Tanzania
"Kipekee nimshukuru Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuniamini kutumikia Taifa kwa nafasi ya Waziri wa Fedha tangu alipoingia madarakani. Huu ni uthibitisho wa imani kubwa aliyokuwa...