ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndoto za chizi natamani yafuatayo baada ya Samia kutawazwa

    Natamani yafuatayo Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu, Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo Ongeza wako. Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
  2. JamiiForums Tanzania Naota ndoto za kutisha ila nikishtuka nasahau matukio yote

    Habarini Ndugu zangu! Samahani sana kijana mwenzenu nahitaj msaada au ushauri kwa maana mara nyingi huwa naota ndoto nyingi za ajabu na za kutisha lakini nikishtuka au hata kukicha nasahau matukio yote yanayohusiana na ndoto hiyo nabaki kujua tu kuwa nimeota ndoto mbaya lakini matukio kuwa ndoto...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto niliyoota leo

    Wakuu habari za asubuhi Kuna ndoto nimeota zimenitisha sana naombeni msaada wenu kwa atakaezielewa. Ndoto ya kwanza; nimeota nina chuma mfano wa bolt nakichezea mdomoni ghafla kwa bahati mbaya kikashuka kwenye koromeo, nilhangaika kukirudisha mdomoni hadi nikaamua kuchukua maji nikanywa ili...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoto hii itakuwa na ujumbe gani ? kwetu

    Njozi niliyopata ilikuwa hivi.. Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu, gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri...
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndoto Zina madhara makubwa, zichukulie kwa uzani mzito

    Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie Angalizo: nazungumzia ndoto...
  7. JamiiForums Tanzania Ninatafsiri aina zote za ndoto

    Kama kuna ndoto uliiota na ukakosa furaha kwa kutokujua maana yake itaje nitakuambia maana yake. Hata kama hiyo ndoto umeisahau kwa Roho wa Mungu nitakukumbusha na kukutajia maana yake. Hii ni kuonyesha tu kuwa Mungu yupo kila sehemu Mungu anajua kila jambo Mungu anaweza mambo yote. Utukufu...
  8. JamiiForums Tanzania Watafsiri na wabobezi wa ndoto naomba mniambie hii inamaanisha nini?

    Mara nyingi usiku nikilala huwa sipati kabisa ndoto au nikiota asubuhi nakua nimesahau nilichoota. Ila jana usiku nimeota ndoto ambayo imenitisha na naikumbuka kwa sehemu kubwa, siku nzima nimejaribu kuwa bize ili kuisahau ila imegoma kabisa kutoka kichwani na kuna kitu kinanisukuma niisimulie...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia usiote ndoto za kishetani

    Watu wengi wanapolala huota ndoto. Baadhi ya ndoto ni za kawaida, nyingine zinatoka kwa Mungu, na nyingine hutokana na akili zetu wenyewe. Lakini pia zipo ndoto zinazotokana na shetani. Ndoto za kishetani huleta hofu, mateso na kumfanya mtu akate tamaa. Ndoto za kishetani hazifurahishi bali...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa n nimekua na ndoto ya kuwa kocha mkubwa wa mpira wa miguu lakini sina support

    Habari za muda huu ndugu zangu, mimi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka 23. ni kwa muda mrefu sasa n nimekua na ndoto ya kuwa kocha mkubwa wa mpira wa miguu lakini sina support. Kwa anayejali na ambaye atakua na uwezo ninaomba anisaidie ili niweze kutimiza ndoto zangu.Ninahitaji msaada wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nyuma ya Tabasamu Kuna Machungu Yasiyoelezeka. Tumebeba Ndoto za Wengi Nyuma Yetu

    Wakuu mambo vipi Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu unataka upambane mwnywe kwa ajili ya maisha. Yako 🌍 Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao...
  12. JamiiForums Tanzania Itakuwa ndoto sana

    Itakuwa ndoto sana mtu unawaza eti traore angekuwa mtanzania. Mnahitaji miujiza km Gaddafi au traore wahenga wanasema nabii hakubaliki kwao wapo watu km traore tanzania ila tunawaona takataka wanatuchelewesha nchi ya ahadi.
  13. JamiiForums Tanzania NYUMBA YA NDOTO YAKO UNAIPATA HAPA ,ANGALIA DESIGN AND BUILD YA HII MANSION KALI YA 5BEDROOMS WITH CINEMA ROOM

    TUNAFANYA KAZI NZURI FROM DESIGN TO UJENZI TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  14. JamiiForums Tanzania Hii ghorofa simple haiwezi kukushinda kama una ndoto za kumiliki ghorofa, angalia picha hizi

    GOROFA SIMPLE 4BEDROOMS FIT ON 20X20M PLOT VISIT OUR OFFICE SINZA DAR ES SALAAM INSTAGRAM mkuzibuilders CALL/WHATSAP +255624004650
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Ripoti kutoka Mashariki ya Kati, zinaeleza kwamba, Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu. Katika ndoto hizo wanamuona Yesu akiwa na sura ya utakatifu, amevaa mavazi meupe, akihubiri amani na upendo na kuwaambia wamfuate. Ndoto hizo zimesababisha idadi kubwa ya Waislamu kuongoka na kuigeukia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kujilinganisha kunamaliza sana ndoto za watu,chanzo kingine cha msongo mpaka kujiua na magonjwa ya moyo

    Wimbi la kujiua likiwa limepamba kasi na sababu nyingi zikiwa mahusiano ila kuna hii pia ya kujilinganisha nayo ni sababu kubwa katika kumaliza ndoto za vijana mpaka kupatwa na magonjwa ya moyo ingali ni wadogo tu Unaingia mtandaoni unaona rafiki yako mliyeachana miaka kadhaa nyuma kaweka...
  17. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Programu ya Msimbo (coding) yazindua ndoto ya kidijitali kwa vijana wa Kenya

    Shule ya umma anayosoma Pauline Wahuna, iliyoko katika Kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya, inaweza kutoonekana kwa urahisi, lakini imekuwa kituo kinachoshamiri cha kuendeleza kizazi kijacho cha waandishi wa Msimbo (coding). Mwaka 2024, Pauline Wahura, mwenye umri wa miaka 15 anayesoma Daraja...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ghafla nikaanza kucheka sana nikiwa usingizini.Nisaidieni kutafsiri

    Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi ila nilizikwepa. Nikashangaa Kuna wanaume wengine wawili walinizunguka wakinipiga risasi lakini nilizi...
  19. JamiiForums Tanzania Riwaya: NAFSI YA MFU Mtunzi: Kindo Emmanuel

    ILIKUWA ni asubuhi chungu kuliko zote nilizopata kuamka. Nilitetemeka na mwili wote ulifukuta kwa maumivu yasiyomithilika, jasho halikuwa mbali namni. Nilihisi utumbo ukijinyongorota ndani kwa njaa niliyohisi na kila nilichojaribu kula nilitapipika mpaka nyongo. Nilihisi huenda nilikumbwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndoto ni ya ajabu mno naombeni maana yake

    Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini. Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu tulikuwa watu kama 3 hivi wenzangu wakachota na kuanza kunywa ila mm kila nikichota ile supu ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…