GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,399
Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa.
Baada ya kifo kitu kingine kinachotenganisha familia nyingi na kuleta migogoro mingi ndani ya jamii nyingi ni hii taasisi ya ndoa.
Waanzishi wa taasisi hii ya ndoa(vitabu vinavyodaiwa kuwa ni vya Mungu) walificha ukweli kwamba nwanamke na mwanaume kwa asili ni maadui hivyo hawawezi kukaa pamoja kwa muda mrefu bila ya kuleta maafa makubwa.
Hakuna urafiki wa kudumu kati ya mwanamke na mwanaume kwani kwa asili watu hawa ni maadui sasa kuwaweka pamoja na kuwafanya waishi pamoja kwa dhana ya ndoa ni kuwasababishia maafa makubwa.
Narudia tena, lengo la taasisi ya ndoa sio kuleta upendo kwa waliooana bali ni kuleta maafa kwa waliooana na huu ni ukweli uliofichwa siku nyingi. Ndio maana:
i/ Watu wengi wameuawa sababu ya ndoa.
ii/ Familia nyingi zinateseka sababu ya ndoa.
iii/ Familia nyingi zimefarakana sababu ya ndoa.
iv/ Watu wengi wana uadui wa kudumu sababu ya ndoa.
v/ Watu wengi ni walemavu wa kudumu kwa sababu ya ndoa.
vi/ Watu wengi wamerogana sababu ya ndoa.
vii/ Watu wengi wamebeba visasi vya kudumu sababu ya ndoa.
viii/ Watu wengi wamejiua sababu ya ndoa.
ix/ Watu wengi wapo magerezani sababu ya ndoa.
x/ Watu wengi wamekosa furaha ya kuishi duniani sababu ya ndoa.
xi/ And the like.
Hakuna mwanamke anayeweza kumilikiwa na mwanaume mmoja kwa dhana ya ndoa. Na vivyo hivyo hakuna mwanaume anayeweza kumilikiwa na mwanamke mmoja kwa dhana ya ndoa kwani ukweli ni kwamba hapa duniani hakuna urafiki wa kudumu kati ya mwanamke na mwanaume.
Ukitaka kujua taasisi ya ndoa ni hatari sana hapa duniani wewe angalia tu mwenendo wa ndoa yako.