ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha halisi imetumika kutengeneza video isiyo halisi kwa Akili Unde

    Wakuu Hili tukio kwenye video hii ni la kweli?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ndege F-16 Yafeli Maonesho ya Maneuver na Kumuua Rubani

    Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya wakati wa mazoezi ya maonesho ya anga. Rubani alijaribu mbinu ya barrel roll — yaani mzunguko wa...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini ndege na Njiwa wanamfata fata kila nyumba aendayo na Sasa amehamia kwake Bado TU wamemfata je Nini tiba?

    Huyu ni rafiki w karibu sana,tulicheza pamoja na tukakua pamoja. Leo ameamkia nyumbani kwangu kifuru Dsm,katika moja na mbili analalamika yakuwa amekuwa anafatwa na Njiwa kila nyumba aliyokuwa akipanga na Sasa ameamia kwake pia wemfata je hii Ina maana Gani? Wapo ndani ya singibodi.nachukia...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 225 wakikutoka Amerika kaskazini watua kwenye uwanja wa ndege wa Ben-Gulion

    ✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika Kaskazini. Ndege hiyo ilibeba watoto 125 (mtoto wa mwisho akiwa na umri wa miezi 9 tu), wasio na...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Alaghahiwa na Wi-Fi ya uongo ya uwanja wa ndege, apoteza fedha na kukosa ndege

    Mtu mmoja alikwama kwenye uwanja wa ndegekatika jiji fulani, akisubiri ndege ya kuunganisha safari. Kama ilivyo kwa wengi wetu, alitafuta WiFi ya bure ili kupotezamuda. Akaona WiFi inayoitwa “Free Airport WiFi” na akajiungabila kufikiria mara mbili. Ndani ya dakika chache baada ya kujiunga...
  6. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Ndege Teule zilivyoegeshwa kwa umahiri

    Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu. Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL. ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE. GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL. adriz Ritz gTurn...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Mussa Membar Aliyeteka Ndege ya ATC HADI London 1982

    KITABU KINACHOMUELEZA MUSSA MEMBAR ALIYETEKA NDEGE YA ATC HADI LONDON 1982 Kuna vitabu na vitabu. Kuna kitabu na kitabu. Kitabu hiki kinaitwa "The Activist A Story of Hijacking and Struggle for Justice.'' Mwandishi wa kitabu hiki ni Abbas Membar mdogo wake Mussa Member (Pichani chini). Mussa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kama CCM hatutamwaga oil mkashupaza shingo, tutatumia njia y dharura kama ile ya kushusha maboya kama ya hatari kwenye Ndege

    Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ndege pekee anayethubutu kumshambulia tai ni kunguru, lakini tai hapigani naye

    1.Kunguru ndiye ndege pekee mwenye ujasiri wa kukaa juu ya mgongo wa tai na kumdonoa shingoni. Bila huruma. Inakera. Lakini tai hubaki mtulivu 2.Tai hapigi mabawa. Hapigani. Hatumii nguvu ovyo. Hufanya jambo moja tu, hupaa juu. 3. Kadiri tai anavyopaa juu, hewa inazidi kuwa nyembamba. Kunguru...
  10. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho msingi wa mabishano kati ya Godbless Lema na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuhusu bei ya hizi ndege

    Nimeshindwa kuweka link ya bei za ndege hizi kutoka kiwandani. Bei ya kiwandani huko USA zinakotengenezwa ni USD 1.7 million. Tatizo letu ni kununua kwa middle men kwa njia ya kushindanisha middle men kwenye tender badala ya kununua direct kutoka kiwandani. Hivyo middle man anainunua kwa US...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Grok: Ndege aina ya Thrush Rockwell toleo la 2025 hadi kutua Tanzania ni Tsh 4.Bilion

    Ndege ya Thrush Rockwell S2R (sasa Thrush S2R) inatengenezwa na Thrush Aircraft huko Albany, Georgia, USA. Bei ya kiwandani kwa modeli mpya kama Thrush 510P2+ (2025) inahitaji kuwasiliana na kampuni, lakini makadirio ni $800,000-$1,200,000 USD kutegemea vipengele. Modeli za zamani zinauzwa...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

    Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!! Ikabidi ndege itue. ------------- Ndege ya easyJet...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Bashe umeudanganya Umma , nani mmiliki wa ndege ya kupuliia dawa?

    Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA. Britanicca
  14. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania wapi naweza kupata ndege kasuku kwaajili yakukununua kwa hapa Dar

    habari ndugu zangu wana jf. nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar naomba tuwasiliane pm tafadhari sana.
  15. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

    Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!! Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa… Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya self transfer kwenye tiketi ya ndege?

    Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali! Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini? Ni kama inavyosomeka hapo chini. Asanteni!!!
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  18. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kisa cha tapeli aliyeuza uwanja wa ndege Nigeria

    🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana waliowahi kufanikisha kile alichokifanya Emmanuel Nwude, raia wa Nigeria ambaye alitapeli benki kubwa ya...
  19. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Ndege ikiishiwa mafuta agani inakuwaje jamani!!!

    Hivi, nimewaza, Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? :D :D :D :D
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
Back
Top Bottom