ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ndege tatu za Marekani zatunguliwa kimakosa na Kuwait

    Kamandi la Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema Machi 2, 2026 kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa Kuwait kwa bahati mbaya ulitungua ndege tatu za kivita za Marekani ikiwa vita dhidi ya Iran na Israel na Marekani ikiendelea. Kwenye taarifa yao, CENTCOM imesema: "Saa 5:03 usiku Machi 1, 2026 ndege...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Pentagon: Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer

    https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8 Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer Kamanda yupo Live Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya mkutano wa dharura na waandishi wa habari muda huu kufuatia taarifa zinazoenea kuwa kikosi cha ndege za...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Israel + Marekani vs Iran

    Kwa miaka mingi, Marekani na Israel zimekuwa na hofu kuwa Iran inatengeneza bomu la nyuklia. Israel anaamini bomu hilo likikamilika, Iran italitumia kuifuta nchi yao kwenye ramani, hivyo wamekuwa wakitafuta namna ya kuzuia mpango huo kwa nguvu. madarakani Januari 20, 2025, aliweka msimamo mkali...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait.

    TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Afghanistan imeangusha ndege ya Pakistan

    Wakuu, Nimeona hii picha inadaiwa kuwa ni ndege ya Pakistani imeshambuliwa na jeshi la Afighanstan. Uhalisia upoje?
  6. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania DRC: Sehemu ya uwanja wa ndege wa Kisangani walipuliwa na droni za AFC/M23

    Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto. Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake, waliendelea kushambulia ng'ome za kundi hilo katika maeneo mbali mbali, Kivu kusini na kasikazini...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kasafiri na ndege ya ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401. Tena imetua kwenye private airport. Ushahidi huu hapa. Kwanini siku hizi kuna kijificha ficha sana na shughuli za rais inabidi ziwe wazi Britanicca
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  9. Chibike

    JamiiForums Tanzania Ndege za UFO/UAP's zimethibitishwa zinaweza kutembea kwa spidi ya ajabu, km 64,000 kwa lisaa, DAR Hadi MWANZA kinatumia dakika 1 na sekunde Moja.

    Nimekua nafuatilia sakata hili la UFO ama Aliens majina ambayo yamezoeleka na wengi kua ni viumbe ambavyo inasemekana vipo vinaishi na sisi SEHEMU ambayo pengine binadamu wa kawaida hatuwezi kufika pengine bila msaada wao. Sakata hili naona limechukua sura mpya Sasa huko marekani Kuna watu...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wahaya wamepinda, ndege zote Bukoba to Dar zimejaa mpaka Lyamba!

    Nimekwama Bukoba. Nshomile wamejaza ndege zote kwa siku kadhaa zijazo.! Maprofesa na Ma Dokta wanarudi Dar baada ya end of the year holidays! Tutajuta kwenda huko! Ngoja nipande Katarama Bus 😅😄😃😁
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndege vita mpya aina ya “Adir” (F-35i) Zatua Katika Kambi ya Anga ya Nevatim-Israel!!!

    IDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za kivita za “Adir” (F-35i) zimetua katika Kambi ya Anga ya Nevatim kusini mwa Israeli. Ndege hizo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  14. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

    Asalaam aleykhum.. Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao? Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu? Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani Au wanazikana 🤣?
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa kwa pesa za kujikimu kwa intake mpya June 2025 mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti. Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
  16. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Haikuhitaji Marekani kutumia ndege na tanks kuiangamiza Caracas, walihitaji walinzi watatu tu kufanikisha mchongo mzima

    My people, Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas. Pentagon,Marekani Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation...
  17. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ndege za jeshi la Marekani zaingia kwa wingi uUaya, Iran kufuata baada ya Venezuela!?

    Ndege za jeshi la marekani zinaingia kwa wingi uingereza na nchi zingine za ulaya ikiwemo uturuki Inaongeza wasiwasi kwamba huenda Iran itakumbwa na kile kilichoikumba Venezuela Iran kwa upande wao wameweka bango lenye picha za majeneza yenye bendera za marekani na Israel yenye ujumbe 'jalini...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndege vita za Saud-Arabia zimeshambulia vikosi vya Yemen kwa mara ya Pili!!!

    Ndege vita za Saudia zimeshambulia vikosi vya Yemen
  19. I

    JamiiForums Tanzania Viwanja 10 vya ndege Afrika vyenye hekaheka

    Pamoja na kuwa tuna vivutio vingi vya kitalii, Tanzania hatumo. Tunakwama wapi?
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya ndege zisizo na rubani ni kitendo cha kujilinda kibiashara cha Marekani kwa kisingizio cha usalama

    Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho kwa usalama wa taifa”, na kupiga marufuku ununuzi wa aina mpya za ndege zisizo na rubani kutoka nchi...
Back
Top Bottom