ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Grok: Ndege aina ya Thrush Rockwell toleo la 2025 hadi kutua Tanzania ni Tsh 4.Bilion

    Ndege ya Thrush Rockwell S2R (sasa Thrush S2R) inatengenezwa na Thrush Aircraft huko Albany, Georgia, USA. Bei ya kiwandani kwa modeli mpya kama Thrush 510P2+ (2025) inahitaji kuwasiliana na kampuni, lakini makadirio ni $800,000-$1,200,000 USD kutegemea vipengele. Modeli za zamani zinauzwa...
  2. Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

    Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!! Ikabidi ndege itue. ------------- Ndege ya easyJet...
  3. Bashe umeudanganya Umma , nani mmiliki wa ndege ya kupuliia dawa?

    Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA. Britanicca
  4. wapi naweza kupata ndege kasuku kwaajili yakukununua kwa hapa Dar

    habari ndugu zangu wana jf. nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar naomba tuwasiliane pm tafadhari sana.
  5. Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

    Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!! Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa… Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
  6. Nini maana ya self transfer kwenye tiketi ya ndege?

    Nisijifanye mjanja halafu nikaishia kuumbuka! Wazoefu mnisaidie tafadhali! Ikiwa unataka kufanya booking ya ticket ya ndege, ukikutana na neno SELF TRANSFER linamaanisha nini? Ni kama inavyosomeka hapo chini. Asanteni!!!
  7. Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  8. Kisa cha tapeli aliyeuza uwanja wa ndege Nigeria

    🛫 Emmanuel Nwude: Mtu Aliyewauzia Wazungu Uwanja wa Ndege Ulio Hewa Katika historia ya dunia, matapeli wengi wamejaribu njia mbalimbali za kujipatia mali kwa ujanja. Lakini ni wachache sana waliowahi kufanikisha kile alichokifanya Emmanuel Nwude, raia wa Nigeria ambaye alitapeli benki kubwa ya...
  9. Ndege ikiishiwa mafuta agani inakuwaje jamani!!!

    Hivi, nimewaza, Ndege ikiishiwa wese huko angani, inakuwaje! Wanasemaga huko kuna barabara. Rubani anapaki pembeni au anailaza kama wale wa pikipiki wanavyofanyaga? :D :D :D :D
  10. Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  11. Tukiwa Tunapambana na Waliokatwa na Kujiuzuru kwa Polepole, Kisiwani Tumenunua Ndege Yetu ya Kwanza

    ... Endelee kuzubaa wenzenu uchumi unakimbia huku
  12. Rais wa Iran alijeruhiwa kwenye mashambulizi ya ndege za Israel

    Alinusurika kauwahishwa kwa mabikira 72 baada ya kutokea kwenye mlango wa nyuma wa jengo alilokua anafanya kikao, lilipigwa mabomu ikabidi aingie mitini. Israel ni kichaa.... -_----++++++++ Iranian President Masoud Pezeshkian was injured in the leg during an Israeli airstrike last month on a...
  13. A

    KERO Vyoo vya Uwanja wa ndege wa Sheikh Abeid Aman Karume ni aibu tupu

    Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje...
  14. Iran yafunga anga lake kwa ndege za kiraia,je mtifuano kuanza tena!?

    Iran leo ilitangaza kufunga anga lake la magharibi na Kati kwa ndege za kiraia, mpaka kesho Inazua wasiwasi wakati huu israel ikiwa kwenye mazungumzo mazito na marekani na madege ya mizigo ya Marekani yakiripotiwa kutua uwanja wa ndege ben gurion kwa wingi Juzi mchambuzi mmoja wa siasa Iran...
  15. S

    Hawa Wakenya wabunge wetu waliosema hawana akili kama sisi Watanzania ndio sasa wanatusaidia ndege za ujasiri wa Tanzania kwenda Ulaya!

    KQ to support Tanzania aviation industry National carrier Kenya Airways (KQ) is in talks with Tanzania to support its aviation industry after it was banned by the European Union (EU). The European Union (EU) banned Tanzanian airlines from operating in its airspace in early June over safety...
  16. Urusi:Watatu wauawa katika shambulio la ndege za kivita za Ukraine

    Watu watatu wameuawa na 35 kupelekwa hospitali kufuatia shambulio la Ukraine kwenye kiwanda kimoja katika mji wa Izhevsk - zaidi ya kilomita 1,000 kutoka mpakani, mamlaka ya Urusi inasema. Kati ya wale waliojeruhiwa kumi wamepata majeraha mabaya, gavana wa Udmurtia Aleksandr Brechalov alisema...
  17. PreGE2025 Mtendaji mkuu TANROADS akagua ujenzi wa uwanja wa ndege Sumbawanga, ujenzi wafikia asilimia 70

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea kwa kasi. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mhandisi Besta amesema ujenzi wa uwanja huo umefikia...
  18. Ndege ya kivita ya F-16 yaanguka ikizuia shambulio la Urusi

    Wakati wa shambulio kubwa la usiku, Luteni Kanali Maxim Ustimenko, wa jeshi la Ukraine ambaye alikuwa rubani wa ndege ya kivita ya F-16, aliuawa. "Rubani alitumia silaha zote za ndani, akiangusha shabaha saba za angani. Wakati wa mafunzo ya wa mwisho, ndege yake iliharibika na kuanza kuanguka,"...
  19. W

    GE2025 Mchekeshaji Stanbakora agombea nafasi ya udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro

    Mchekeshaji @stanbakora_ Agombea Nafasi Ya Udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro Ameyasema Hayo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika👇 “Wana MOROGORO MJINI Kata Ya KIWANJA CHA NDEGE Nipo Tayar Kuwatumikia”
  20. Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

    Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…