ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Halima Mdee: Tusifikirie kimasikini, ndege binafsi sio anasa

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ameshauri Serikali kupunguza kodi katika ndege zinazotumika kwa utalii Nchini akisema inatakiwa kushuka na ikiwezekena ifike hatua kumiliki ndege binafsi liwe jambo la kawaida. “Kamati imesema ndege za kukodi zimepungua kutoka 200 hadi 105, ifike kipindi...
  2. Ndege ya kivita ya Iran aina ya F-14 yaanguka yenyewe

    Ni ndege ya pili ya kijeshi kuanguka yenyewe ndani ya mwezi mmoja, natumai hawatailaumu Israel kwenye hili.... An F-14 fighter jet crashed on Saturday while on a mission in central Iran, causing injuries to its two crew members, media in the Islamic republic reported. "The fighter jet suffered...
  3. Oman waamua kutujengea VIP na maduka kwenye Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro

    Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Makubaliano hayo yalitiwa saini...
  4. A

    Serikali: Sasa ni ruksa kusafirisha wanyama nje ya nchi

    Hali iko hivyo, tunaelekea kule 7kule tulipotoka, sasa ni rasmi twiga wetu wataanza kupandishwa ndege tena kwenda Ughaibuni. _______________ Wafanyabishara sasa huru kusafirisha wanyama Pori kutoka Tanzania Marufuku hiyo imeondolewa kwa muda wa miezi sita ambapo wafanyabiashara watakuwa...
  5. Akataliwa kupanda ndege kutokana na kuwa na matiti makubwa

    Mwanamitindo maarufu instagram kama @leavemaryalone amechukua headlines mara baada ya kulalamika kufanyiwa kitendo cha kutolewa na kushushwa kwenye usafiri wa ndege kutokana na ukubwa uliopitiliza wa maziwa yake yanayo kadiriwa kuwa na uzito wa kg 10. Mwanamitindo huyo Mary Magdalena'...
  6. Miili 14 ya watalii yaopolewa baada ya ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria kuanguka

    Ndege ya shirika la ndege la Nepal la Tara Air, iliyokuwa ikiruka kutoka mji wa Pokhara kuelekea mji maarufu wa kitalii wa Jomsom, katikati mwa Nepal Mei 29, iliripotiwa kupoteza mawasiliano na udhibiti wa anga kwa takriban dakika 12 katika safari Mamlaka ya Nepal leo, Mei 30 imesema imegundua...
  7. Ahukumiwa kwa Kupiga Punyeto mara tatu mfululuzo ndani ya Ndege ikiwa angani inakata Mawingu mazito

    Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema. Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa...
  8. INAUZWA Ndege hii inauzwa

    2.5 B Mzungu kalewa Contacts . Mr.ibuog@gmail.com Wajuba yenu 500M
  9. Ndege za kivita za China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja

    -Ndege za kivita za china na urusi zilifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya Japan na bahari ya china mashariki siku ya jumanne ya tarehe 24 May 2022 wakati viongozi wa “Quad”walipokutana Tokyo, waziri wa ulinzi wa Japan alisema. - Nobuo kishi alisema Tokyo imeeleza “wasiwasi mkubwa” kwa...
  10. L

    Tanzania kununua ndege tano ili kuhimiza maendeleo ya sekta ya usafiri wa anga nchini

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL). Mbarawa amesema katika mwaka...
  11. Ndege wananimalizia alizeti. Kwa hatua hii zinafaa kuvunwa?

    Wakuu habari za muda huu! Ndege wamekuwa pasua kichwa. Nawaza kuvuna ila sina uhakika kama kwa stage hii zinafaa kuvunwa.
  12. Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  13. Je, ipo siku yatajirudia ya Magufuli kwamba Ndege zimeleta faida! Rais Samia atatulazimisha kusema Royal tour imeingiza mabilion? Swali tu

    Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika? Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni? Mama usiingie mtego huu hata kidogo Najua zitapikwa...
  14. A

    KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

    Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
  15. Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

    Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude? Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
  16. ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Salaam, Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha. UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii ATCL inapenda...
  17. M

    Video: Uchawi haupandi ndege, juju la Simba halikuzaa matunda Johanesburg

  18. CAG: Ndege yenye miaka 47 ilikarabatiwa kwa 278.42m ikatumika masaa 18

    CAG: NGORONGORO ILITUMIA TSH. MILIONI 278.42 KUKARABATI NDEGE YENYE MIAKA 47 Kupitia Daftari la Mali za Kudumu za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, CAG alibaini kuwa Mamlaka inamiliki ndege aina ya CESSNA 182P yenye Namba za Usajili 5H-MPZ Ndege hii kufikia Juni 30, 2021 ilikuwa na...
  19. Haiti: Ndege yaanguka mtaa wenye watu wengi, yaua watu sita

    Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye watu wengi katika Jiji la Nchini Port-au-Prince Nchini Haiti, jana Aprili 20, 2022 na kuua watu sita akiwemo rubani wa ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Port-au-Prince saa 9:44 Alasiri kuelekea katika Jiji lingine Nchini...
  20. Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…