Mwezi wa pili mwaka huu, nimetimiza miaka 10 ya kuwepo ndani ya mtandao huu pendwa wa JamiiForums.
Inawezekana ikawa ni miaka michache kwa wengine ila kwangu mimi ni miaka ya kutosha sana.
Nimejifunza mengi sana ndani ya mtandao huu, mungu andelee kumbariki Maxence Melo kwani bila yeye pengine...