ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. adriz

    JamiiForums Tanzania Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

    Moja kwa moja.. Nilizoea bando likikata kuingia Freebasic kupitia line yangu ya Halotel kucheki habari BBC na kuperuzi Jf lakini halo umebadilika sasa sio kwa kutumia app wala browser inagoma shida ni nini wakuu hii huduma bado ipo kweli ? #UziTayari
  2. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amuua mwanaye na kumficha ndani kwa miezi mitatu

    Polisi nchini Kenya wamemkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 34 anayedaiwa kumuua mtoto wake mchanga aliyejifungua Julai 16 mwaka huu na kuuficha mwili ndani ya nyumba yake kwa zaidi ya miezi mitatu. Kesi hiyo ilifikishwa polisi na binti wa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 14, ambaye alidai...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Mwezi Mmoja tumekopa Trillion 7, Kuna siku nchi itapigwa mnada

    Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada. October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi. October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia. October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU). October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
  4. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe: Meli za nafaka zilizoondoka jana zilikuwa ndani ya eneo la Uturuki

    Quote: "On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal." Tuache upotoshaji wa Simba na Yanga hasa kwa Pro West...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    Kwema Wakuu! Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya kimahakama/kuthibitisha ukweli wa masimulizi yaliyomo kwenye Biblia na kwenye Quran. Nani mkweli na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  7. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

    Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
  8. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Ndani ya muda mfupi nchi nchi ilikuwa stranded/ frustrated. Kwanini tusimkumbuke?

    Kwa mda wa miaka mitano tu Kila mmoja kaonja joto la jiwe, si mkuli, si graduate, si mfanyabiashara, mwajiliwa wa serikali na binafsi. Wote tulikuwa tunasubili Kila siku matamko yake tu as if nchi haikuwa na binge tena Wala sheria. Nchi ilikuwa imepatwa. Sasa lazima awe reference ya viongoxi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga kumficha ndani Kambole kama 'msukule' siyo sawa!

    Yanga wakimuaga daktari wa timu wiki iliyopita. Kambole amekuwa akifungiwa ndani huko Avic Town Kigamboni ili kuficha aibu ya siasa za usajili. Huyu ni mchezaji aliyetajwa kuachwa na Yanga baada ya idadi ya wachezaji wa kigeni kuzidi kufuatia usajili wa Kisinda. TFF ilihalalisha kucheza kwa...
  11. Adolph Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

    Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha? Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mkimwacha Nabi bila msaada na hawa wachezaji wetu hata mechi za ndani sisi Yanga hatutoboi

    Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi. Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki moja, ndege nyingine ya kivita yaanguka Urusi na kuua, hivi zina nini?

    Mindege ya kivita inajiangukia yenyewe sijui inatunguliwa au marubani wamejichokea au wanetu wa Ukraine waliopo Urusi wanafanya yao.... A Russian warplane slammed into a residential building in the Siberian city of Irkutsk on Sunday, killing both crewmembers, authorities said. It was the second...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maambukizi ya Ebola yafikia watu 14 Kampala ndani ya saa 48

    Waziri wa Afya Jane Ruth Aceng ameripoti ongezeko la Wagonjwa 9 waliothibitishwa kuwa na Ebola jijini humo na kufanya jumla ya wagonjwa kufikia 14 ndani ya saa 48 zilizopita. Usambaaji wa kasi wa Ebola jijini Kampala umezusha hofu kwa raia kuwa huenda Rais Museveni akatangaza hatua kali za...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Rushwa ndani ya chama ni tabia

    Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia. Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe. Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo...
  16. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Ronaldo kama ataendelea na tabia zake za ovyo basi atajipotezea heshima yake ndani ya Dunia ya Soka

    Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford. Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri mwingine mwenye asili ya Afrika ajiuzulu huku Serikali ikionesha dalili za kuelekea kuanguka

    Suella Braveman ambae alikuwa akiongoza wizara ya mambo ya ndani amejiuzulu leo jioni baada ya kukiuka kanuni za usalama wa habari mitandaoni kwa kutumia anuani binafsi ya barua pepe badala ya anuani maalum ya serikali. Waziri huyo anadaiwa kutumia anuani binafsi kutuma taarifa nyeti katika...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

    Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehemu zingine!! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe...
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  20. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa nini kwenye ziara za Rais za ndani?

    Poleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni...
Back
Top Bottom