ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

    Namshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi. Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF. Kama una...
  2. JamiiForums Tanzania Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

    Imetokea leo mchana maeneo ya kituo cha bandari Kurasini. Kuna jamaa ana ofisi yake (frame) ya kuziba pancha na kuongeza upepo ni jirani yetu kabisa na ofisi yetu ndogo (branch) ambayo huwa napita siku moja kila wiki. Huyu jamaa ni mkimya sana sijawahi kuzoeana nae ila salamu tu na nimewahi...
  3. JamiiForums Tanzania Uingereza na Ujerumani waifukuzia mbali ndege ya Urusi iliyojaribu kupaa Estonia, kataifa ndani ya NATO

    Ndege ya kivita ya Urusi ilijaribu kutumia anga ya Estonia kupokea mafuta angani, hiyo ni baada ya kusahau hako kataifa ka Estoni kako ndani ya NATO, ghafla ndege za Ujerumani na Uingereza zikaibuka na kuifukuzia mbali.... ======================== UK and German military aircraft have...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Tumekuwa na Aziz Ki watatu tofauti ndani ya miezi 10

    NILIMWONA Stephane Aziz Ki katika pambano la Yanga dhidi ya Real Bamako wiki iliyopita. Alitolewa wakati wa mapumziko na hakuna shabiki wa Yanga ambaye alishangaa au kuchukia. Huenda Aziz Ki alikuwa mchezaji mbovu kuliko wote wa Yanga jioni ile. Nasikia alichukia kutolewa. Sijui alichukia...
  5. JamiiForums Tanzania Hatari! Ndani ya CCM Ukweli ni Sumu, Inakuangamiza Msemaji

    Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kufinyia kwake kwa ndani huenda sambamba na utoaji wa shuzi, tatizo nini hapa wadau?

    Salaam waungwana! Nina kamchepuko kangu ambako tunapendana vizuri tu (kwa hali zetu, ananivumilia, namvumilia). Huu mchepuko ni mmoja kati ya wale wa kina dada wa kileo wanaoamini katika ufinyiaji kisawasawa wa ndani ili kumsatisha mwenza. Tukikutana, ndani ya dakika tatu zangu za kulast (rejea...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Viongozi acheni kupiga 'Vistoristori' na Madereva wenu ndani ya Magari ili Siri zenu zisisambazwe

    "Katika kutunza Siri za Watumishi wa Serikali niwaase sana nyie Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wengine Serikalini muache Kupiga Vistorivistori mkiwa na Madereva wenu ndani ya Magari yenu ili kuepuka Siri zenu Kuzagaa na Kuaminika kwao hawa Madereva wenu wanawajueni zaidi kwakuwa muda mwingi mko...
  8. JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week; Chama, Kapombe ndani

    Hii ni official Team of the Week ya CAF Championship. Mnyama ameingiza wawili Show-me the Way na Mwamba wa Lusaka
  9. P

    JamiiForums Tanzania Branch Davidians na The Waco Siege zilivyojenga chuki ndani ya Timothy McVeigh: Mistakes that cost lives of 168 people in Oklahoma

    Branch Davidians lilikuwa kundi la kidini lililojiengua kwenye dhehebu la Ki-adventist baada ya Bwana Houteff kupishana na viongozi wa kisabato kwenye mambo fulani fulani. Kundi hili lilianzishwa na Victor Houteff mwaka 1935 hii ni baada ya machapisho yake aliyoyaita Fimbo ya mchungaji...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi maamuzi mabovu yalivyoifilisi benki ndani ya saa 48, wateja waliomba kutoa dola bilioni 42 kwa siku moja(Mara mbili ya bajeti ya Tanzania)

    Silicon Valley Bank inayosifika kuwa muhimu kwa kampuni za kiteknolojia hasa zinazoanza na kukua imedondokea pua na kuwa benki ya pili kubwa nchini Marekani kudondoka tangu kumaliza kwa mdororo wa uchumi wa mwaka 2008. Mdororo wa 2008 ulianzia nchini Marekani baada ya mabenki mengi kuporomoka...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

    Uzi ulikuwa kwaajili ya social experiment. Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Joseph Misalaba na kampeni chafu kuwania nafasi ya Ukatibu Naibu Mkuu ndani ya Chama cha Walimu Tanzania

    Kama ambavyo tumekua tukiendelea kufichua namna ambavyo uongozi wa CWT unatafutwa kwa mbinu chafu na namna baadhi ya watu walivyokihujumu chama, leo tunamleta kwenu Joseph Misalaba Mgombea wa nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu CWT. Mtajwa hapo juu ni katibu wa CWT wilaya ya Geita aliyeajiriwa kwenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mporipori ndani ya Jiji na almasi yangu, natafuta kipoozeo

    Itoshe kichwa Cha habari kutoa utanguli kamili. Baada ya kuyafuma manukato murua ktk miezi ya wagumu hii ikiwemo bingo la kuchoronga maneno Kwa kipaza sauti kwenye msiba wa don Mmoja wa kipande chetu siku ya pasaka ya mwaka huu, kiukweli nilifunika mbaya mpk nikapigiwa mbwembwe msibani. Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi wa Ma Vibes Nje na Ndani...

    Tupeane connection za vibes kali mjini. Wazima lakini? Mko poa?
  15. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wana JF wenye Ligi na wenye falsafa zao humu ndani

    Kwema wakuu! TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani kuna member ambao ni waasisi na ma-father wa Ligi Fulani Fulani. Yaani wao mawazo Yao Kwa sehemu...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA ndani ya Domo la Chatu Siku ya Wanawake Kitaifa-Arusha

    Nawasalimu ndugu Watanganyika, Hiyo Leo 8-3-2023 zitapigwa picha na video za kuombea mikopo kuwa Rais TZ ana practice Fair Democracy kwa kufungua Mkutano wa Women Wing Council ya Chama Kikuu cha Upinzani. Risala zitasomwa na zitajibiwa kwa hotuba na maneno mazuri lakini kiukweli behind hiyo...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila mada humu ndani ni CHADEMA tu?

    Nimekuwa napitia mada nyingi sana humu JF na kila mada ni CHADEMA tu tangu ujio wa Lissu na Lema! Hakuna cha CCM wala CUF, hii inaonyesha kuwa CHADEMA ni chama kikubwa sana sana nchi hii. Hongera sana CHADEMA, songeni mbele sana!
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeongezeka uzito kwa kasi ya ajabu; Kilogramu 9 ndani ya wiki 2 (72-81)

    Hii ni baada ya mahakama Kutupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa Na dada zangu wawili na waume zao(mashemeji) Sijui nani aliwadanganya kumbe baba aliniandika Kusimamia Mali zake kwenye wosia Kuhusu mgawanyo wa Mali za urithi Na hatimaye mahakama kunipa umiliki wa urithi 100% (Mashamba 2, nyumba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wasaka ubunge ndani ya CHADEMA waanza kumzidi nguvu Tundu Lissu

    Ni dhahiri ndani ya CHADEMA watu wanachekeana usoni ila mioyoni mwao watu wanapiga mahesabu ya 2025. Baada ya uchaguzi wa 2020, Kamati kuu ya chama hicho ilitoa msimamo kuwa hakuna kushiriki uchaguzi wowote ujao bila uwepo wa Katiba mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi. Mwanzoni kabisa, msimamo...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua, Aloyce Kwezi aahidi ndani ya miaka miwili ijayo kukamilisha Miradi ya Elimu na Afya

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi ameendelea na ziara yake katika jimbo na kutembelea miradi mbalimbali ambapo ameongea na wananchi wa Kata mbalimbali wa maeneo hayo. "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawapenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…