ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

    Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga. Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Titles za degree za bongo zinatisha na zina maneno mazito ila ndani ya vichwa vya waliosoma hamna kitu, msitishwe na titles

    Kuna midigree inatisha ukisikia mpaka unajiuliza huyu mtu kweli namvyomjua ni kilaza hivi amewezaje kuviweka kichwani. Kumbe ukianza kuongea naye hamna kitu ila Cheti chake kinatisha. Mfano banking na financial services, sijui highway engineering sijui educational policies and planing etc...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kwa mtaji wa 150k nipate faida ya 100k ndani ya muda mfupi?

    Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara. NB; Sitaki habari ya betting
  5. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka 2022 katika tawi la Kahama Benki ya NMB PLC ilipata hasara ya Tsh. 24 Bilioni kutokana na taratibu mbovu zilizowekwa na Uongozi

    Mimi nikiwa mfanyakazi wa Taasisi hii tangu kipindi ikiwa NBC Bank nasikitishwa sana na yanayoendelea humu ndani, Kwa kuwa haya mambo tumekuwa tukishauri kwa nyakati tofauti na kupuuzwa nimeona ni vyema niyalete humu ili wadau wote wajue yanayoendelea na Uongozi wa Benki Uweze kutupatia majibu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

    Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk . Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa. 1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

    Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam. Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa...
  8. JamiiForums Tanzania TIC yasajili miradi ya trilioni 3 ndani ya miezi mitatu, kuzalisha ajira 16,440

    Kituo cha Uwekezaji kimesema kimesajili miradi 93 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2 sawa na Sh trilioni 2.814 za Tanzania katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu wa fedha. Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri ameeleza hayo katika ripoti ya uwekezaji ya kila mwezi ya TIC kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  10. JamiiForums Tanzania Derby ya Jumapili ni surprise kwetu Yanga, Baleke ni silaha mpya ambayo imekuja ghafla ndani ya muda mfupi kabla ya pambano kuu, hali si shwari

    Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili. Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo ndani ya muda mfupi bado hakuweza kuviweka, hii ni hatari mithiri ya adui anaetumia mkono wa kushoto...
  11. JamiiForums Tanzania NADHARIA Kuna watu hutoka ndani ya miili yao

    Hivi ni kweli kuwa kuna watu ambao hutoa nafsi zao ndani ya miili yao (Astral Projection)?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 10 kamili ndani ya JF.

    Heri ya sikukuu ya ufufuko wa Yesu Kristo. Leo ni miaka 10 kamili tangu nimejiunga hapa JF 09 Aprili 2013. Wengine mlikuwa bado wachanga,wengine shule,wengine mlikuwa huko vijijini kwenu ambako hakuna internet lakini Mungu ni mwema leo wote tupo JF na tunasoma nyuzi za kila aina. Ndani ya miaka...
  14. JamiiForums Tanzania Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani ya nyumba yako

    Thread hii kwanza naiona na views wengi sana maana wabongo wengi wanapenda kujifunza. Nawapongeza kwa hilo. Back to the matters. Njia za kuzuia wachawi wasiingie ndani kwako zipo nyingi na kila mtu anaifahamu yake. Naiweka hapa ninayoifahamu na wengine waweke wanazozifahamu tujifunze. Chukua...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo yanayopendekezwa kufanywa ndani ya Saumu

    1. Kula daku na kuchelewesha kula daku hadi karibu sana na kuadhiniwa alfajiri. Kwa kauli ya Mtume (saw): (Kuleni daku, hakika katika kula daku kuna Baraka) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.] Na inahesabika kula daku kwa kupatikana chakula kingi au kidogo, hata kama ni tama la maji kwa kauli ya...
  16. JamiiForums Tanzania Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenge Kijijini ina majonzi makubwa, wawili wafa ndani ya saa 24

    Hiki ni kisa cha kuhuzunisha, Mwenge Kijijini jijini Dar inalia, misiba ya watu wawili marafiki John Simba na Patrick a.k.a Masu a.k.a Masumbuko marafiki chanda na Pete. Issue iko hivi, washikaji wote wawili walikuwa wakiumwa, John Simba alikuwa mgonjwa zaidi, na Masu alikuwa akiumwa pia ila...
  18. JamiiForums Tanzania Aliyebuni mandhari ya ndani ya Ikulu ya Rwanda hakika alipatia

    Muonekano rahisi ila mzuri
  19. JamiiForums Tanzania Seif Gulamali azungumzia mafanikio ndani ya miaka miwili ya Rais Samia katika Jimbo la Manonga

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupeleka fedha. Jimbo la MANONGA Wilaya ya Igunga lilipokea Jumla Shilingi 543,400,000/= fedha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…