NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,860
Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili.
Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo ndani ya muda mfupi bado hakuweza kuviweka, hii ni hatari mithiri ya adui anaetumia mkono wa kushoto kupigania huku wa kulia kauficha.
Cha kuombea ni kwamba wachezaji wazoefu wale wale tuliowazoea waingie kucheza, kocha aamue wazoefu ndio wacheze.