ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

    Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu. ====== 'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released...
  2. JamiiForums Tanzania Ujio mpya wa Ndugu Paul Makonda ndani ya CCM ni mfano wa Injili ya Mtume Paulo katika Biblia

    Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Machafuko na wakimbizi vyaongezeka ndani ya Israel. Wananchi wasema hawaelewi elewi

    Mamia ya raia wa Israel wameendelea kuandamana karibu na makazi ya raisi wa nchi hiyo wakitaka vitu viwili.Kwanza ndugu zao waliotekwa warudishwe na Benjamin Netanyahu aondoke madarakani kwa kuitumbukiza nchi hiyo kwenye machafuko. Hayo yakitokea kumekuwa na ukimbizi mkubwa wa ndani ya nchi...
  4. JamiiForums Tanzania Israel wapiga bomu handaki la magaidi lililokua ndani ya msikiti wa Al-Ansar

    Hii misikiti yaani ni balaa sana, sijui kwanini watu wasiabudu miungu yao kwa amani bila kulea chokochoko........... The Israeli military said it launched a "preemptive strike" on an underground compound on the grounds of the Al-Ansar mosque in Jenin on the West Bank. Details: According to the...
  5. JamiiForums Tanzania Kupenda Sifa za Kijinga, Udhaifu wa Kukaba ndani ya Sita na Kujiamini kulikopitiliza kwa Beki Henock Inonga kumetugharimu zile Goli 2

    Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku...
  6. JamiiForums Tanzania Rangi gani inafaa kupaka kwa ndani kwenye chumba anachoishi mwanaume?

    Habari, Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani? Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume? Asante
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

    Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao. Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu...
  8. JamiiForums Tanzania Nasubiri kujiridhisha kama sitomuona Feitoto Kikosini Taifa Stars ili nije na mhusika aliyesababisha hayo tumnyooshe

    Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu. Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto'...
  9. JamiiForums Tanzania Afghanistan yakumbwa na tetemeko la ardhi la tatu ndani ya wiki moja

    Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000. Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Boss la DP World Ndani ya Kidimbwi Beach

    Jioni ya leo ntakuwa kwenye moja ya meza pale nikizungukwa na watoto wazuri tukila maisha. Wale chawa wangu mnakaribishwa ila sitajitambulisha, nyie angalieni tu sura za ki boss hazifichiki. Mwalimu Mpwayungu Village uje nikununulie juice ya box na maji unywe mpaka upoteze fahamu. Ukifika...
  11. JamiiForums Tanzania UN: Israel inataka watu Milioni 1.1 waondoke Gaza ndani ya Saa 24

    Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24. UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa kuwa idadi hiyo ni nusu ya watu wote waliopo Gaza. Israel imekuwa ikijiandaa kwa mashambulizi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Anatafutwa binti mfanyakazi wa ndani

    Familia ya Dar es Salaam yenye kuthamini utu inatafuta mfanyakazi wa ndani wa kike mwenyewe umri mwisho miaka 22 kwaajili ya kazi za ndani. Mfanyakazi ataishi vizuri na dada mwenye nyumba kwani anathamini utu. Mfanyakazi azingatie haya awe mchamungu. Mawasiliano: WhatsApp 0623745875
  13. JamiiForums Tanzania Pakistan: Wapiga risasi watu wakiabudu ndani ya msikiti

    Hawa kuja kuwaelewa itachukua muda sana, sijui shida huwa nini haswa, mauaji na vita vita. ==== LAHORE, Pakistan (AP) — A pair of gunmen walked into a mosque in Eastern Pakistan on Wednesday and opened fire at the worshippers, killing a member of an outlawed anti-India militant group and...
  14. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mashauri ya ukatili wa Watoto na Wanawake yaendeshwe ndani ya miezi miwili

    Katika kuadhimisha ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani ambayo inaadhimishwa Oktoba 11 kila Mwaka, Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kusimamia kupunguzwa kwa muda wa kuendesha mashauri ya ukatili dhidi ya Watoto na Wanawake. Chama hicho kupitia taarifa yao iliyotolewa na Janeth Joel Rithe...
  15. JamiiForums Tanzania Haruna Mbeyu ndani ya maktaba

    HARUNA MBEYU NDANI YA MAKTABA Leo jioni nimetembelewa na rafiki yangu ndugu Haruna Mbeyu. Nimemjua Haruna bado mtoto mdogo wa shule Miaka mingi hayupo lakini hapungui Tanzania. Haruna ana ila moja. Kila akipata mtu anakuja Dar es Salaam kutoka London atampa vitabu aniletee. Leo kaja nikaona...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Udhihirisho wa roho mtakatifu akaae ndani yetu

    Habari za jioni Ndugu zangu. Nnakiri kuwa mimi ni miongoni mwa watu niliokuwa nasoma shuhuda za watu hapa JamiiForums kuhusu Mungu Na ulimwengu Na roho. Nimesoma shuhuda za watu wawili mpaka sasa Ramon Na Nelson Jacob. Nakiri shuhuda zao niliziamini na zimenifanya nipande viwango kiroho yani...
  18. JamiiForums Tanzania Ilyas Abdulwahid Sykes (Jaluo) ndani ya Maktaba

    Picha hiyo huyo ni Ilyas Abdulwahid Sykes. Jina la utani udogoni tukimwita "Jaluo." Kanitembelea nyumbani kwangu na hapa namwonesha Maktaba iliyohifadhi historia ya baba yake marehemu Abdulwahid Sykes. Baada ya kifo cha baba yake Ilyas na kaka yake marehemu Kleist walikwenda kusoma Canada...
  19. JamiiForums Tanzania Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

    Hapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi. NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu. ♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up.
  20. JamiiForums Tanzania Kamishina Kafulila: Biashara kati ya Tanzania na India ni zaidi ya Dola Bilioni 24 ndani ya miaka 10

    KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani. India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…