ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nashauri kazi ya kukusanya taarifa binafsi za watalii ibaki kwa wizara ya mambo ya ndani (Immigration)

    Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na mapungufu yao yote, ninachowapendea TISS wanajua kila kitu kinachofanywa ndani ya Tanzania

    Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi. Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi. Ukiamuru watu watekwe na wauwawe...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni humu ndani ninaombeni wanachama wenzangu mnipokee

    Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo? Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!

    Et naye ataonyesha kujutia sana!!. Baadae akishaacha Urais, Naye atakujaa na Kitabu chake cha maisha , Ndani ya Kitabu Ataomba MSAMAHA Kwa Matendo yake !!
  5. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    Friends and our Enemies, Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake. Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je! Rais Samia anapambana peke yake ndani ya CCM? Kitendo cha yeye kutoa hukumu kama M/kiti juu ya Gwajima, hakuashirii jambo hili?

    Kitendo cha Rais Samia kulibeba suala la Gwajima yeye kama yeye bila ya kuwa sehemu ya agenda kamili ya mkutano mkuu wa ccm wa juzi na na jana, kuna leta maswali mengi juu ya uungwaji mkono ndani ya chama chake Kwa kiswahili kisicho sawa, hapa mwenyekiti alitumia kiti chake kumhukumu Gwajima...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndani🤔

    Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄 Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk.. Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza... Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa.. NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu...
  8. JamiiForums Tanzania Sudani: Kipindupindu chaua watu sabini ndani ya siku mbili

    Ugonjwa wa kipindupindu umeua watu 70 ndani ya siku mbili katika mji mkuu wa Sudani, Wizara ya Afya meitangaza leo Alhamisi, Mei 29. Haya yanajiri wakati Khartoum ikikumbwa na kuzorota kwa huduma zake za matibabu. Katika taarifa, wizara imerekodi maambukizo mapya 942 na vifo 25 kwa siu pekee ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya CHADEMA – Viongozi walaumiana uchache wa watu Arusha

    UGOMVI NDANI YA CHADEMA – VIONGOZI WALAUMIANA, UCHACHE WA WATU ARUSHA Na Nulphin Charles (Jenerali) Leo, tarehe 28 Mei 2025, jijini Arusha, ulifanyika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambao ulitarajiwa kuonesha nguvu ya chama hicho katika Kanda ya Kaskazini...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  11. JamiiForums Tanzania Je, hii video ndo inamfanya Mbowe Kuogopa na Kubaki ndani akiwa anachungulia Dirishani?

    GT. Laana ya watoto wadogo wa taifa hili zitawatesa wasaliti. 'Waacheni watoto wadogo waje kwangu". Mkisaliti mapambano x3
  12. JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake Magufuli 1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa 2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu. 3.Toto Afya kadi...
  13. JamiiForums Tanzania Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kwa kukusanya mapato ya ndani 2023/2024

    Wakuu, Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani 2023/24: 1. Dar es Salaam CC (Ilala) - Bilioni 111.7 2. Kinondoni MC- Bilioni 64.7 3. Dodoma CC-Bilioni 51.5 4. Temeke MC-Bilioni 47.9 5. Ubungo MC-Bilioni 33.8 6. Arusha CC-Bilioni 33.4 7. Mwanza CC-Bilioni 21.0 8. Mbeya...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhidi alimaanisha hao kenge wa ndani ni akina nani?

    Mbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani? Na anataka serikali imalizane nao vipi? Hivi mbunge anafikia hatua yakuita Watanganyika kenge, anajielewa kweli? Kwanini aite Watanganyika kenge? Anataka serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaifungulia Ukraine kupiga kijeshi kwa silaha zake popote ndani ya Urusi

    Baada ya kuzidi kwa mfululizo wa mashambulizi ya mauaji ya raia ndani ya Ukraine siku za hivi karibuni kutoka kwa jeshi la Putin kansela mpya wa Ujerumani ameruhusu Ukraine kutumia silaha za Ujerumani kufanya mashambulizi popote kwenye maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi.
  16. JamiiForums Tanzania Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

    Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri, #Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao, Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  18. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbunge Felista Njau atuzwa Pesa Bungeni baada ya kuchangia Bajeti ya Mambo ya Ndani

    Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
  19. JamiiForums Tanzania Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

    Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18. Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu...
  20. W

    JamiiForums Tanzania iPhone ni kama mkoba wa Gucci au Luis Vuitton wenye buku jero ndani. Ni muonekano tu lakini unabanwa matumizi, Sijutii kuhamia Android

    Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka. Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi, Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…