nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Jibu la kitendawili cha tatizo la ajira nchini kupitia mfumo wetu wa elimu

    Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Misemo maarufu kutokea kwa wadau wa mchezo wa soka nchini Tanzania

    Wadau wa michezo hamjamboni nyote? Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka Mimi nianze kama ifuatavyo Hamna Mchezaji hapo! Hapo tumepigwa! Unamuwekaje Kapombe Sub! Huyo kocha hamalizi msimu! Sasa endelea Tukuumbuke kushirikiana...
  3. JamiiForums Tanzania Mapenzi yako wapi tena? Karudi nchini bila kuniambia kakaa kimya, kanisahau kwa makusudi

    Mwaka mzima namsubiri aje lakin kaingia nchini kimya kimya bila hata kuniambia, kweli! Mwanzon kabisa it was great. We had so much in common...we shared the same taste in everything music, movies, she loves karaokee though she’s bad at singing, she likes art and i love arts, we were the perfect...
  4. JamiiForums Tanzania Huu ndio wimbo unaotamba kwa sasa hapa nchini

    Mlete mzungu bongo moja la ngoma. 🙌🙌🙌
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Dkt. Mpango na Majaliwa hawalipi kodi wala tozo yoyote hapa nchini

    Rais, Makamu na Waziri Mkuu (among others) hawalipi kodi yoyote kwenye mishahara yao, akaunti zao benki hazina makato na hata laini zao za simu hazina tozo yoyote. Bado natafuta tafsiri sahihi ya uhujumu uchumi. Nitaendelea kusoma Ili nielewe.
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu kuu za changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Ufinyu wa ajira kwa sasa nchini Tanzania imekua ni changamoto kubwa. Wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni wengi na wamekua wakiongezeka kila uchao. Mahali walipo vijana kumi sasa hivi vijana saba kati yao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini Tanzania lakini jambo la kushangaza...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuwepo na sera ya elimu nchini Tanzania yenye kuboresha na kutekelezeka kwenye vituo vinavyotoa elimu katika mfumo usio rasmi(tuition centers)

    Utangulizi Sera ni matamko yatokanayo na masuala ya msingi yenye dhamira ya kuelekeza namna ya kukabili changamoto kwa ajili ya maendeleo katika jamii. Aidha, inaweka wazi dira na dhima na kuelekeza juu ya utekelezaji wa majukumu ya wizara, idara, taasisi, sekta binafsi na jamii kwa ujumla. Sera...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Katoliki Dar es Salaam amtimua nchini Padri wa Nigeria

    Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amemwamuru Padri Christopher Fosudo, ambaye ni raia wa Nigeria, kuondoka mara moja jimboni mwake na kurejea nchini kwao. Padri Fosudo alikuwa paroko msaidizi, Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Dar es...
  9. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vyombo vya Habari na sheria nchini Tanzania tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani

    VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshituko:! Wabunge na Maseneta wateule kutoka vyama mbalimbali waanza kuunga juhudi chama tawala (UDA)

    Huwezi amini nchini Kenya toka Jana kuna utitiri wa wabunge wateule kutoka vyama mbali mbali kikiwemo na chama Cha Raila Odinga wameanza kuunga juhudi Kwa Kasi ya 5g.. Soma hapa zaidi: Today and Yesterday was a Busy Day for KENYA KWANZA MPs Who Have Joined Kenya Kwanza 1. Nambale Constituency-...
  11. JamiiForums Tanzania Paroko Msaidizi wa Parokia ya Magomeni (Dar), Christopher Fosudo afukuzwa nchini, Askofu Mkuu atoa maagizo

    Taarifa ikufikie kuwa hili ndilo tamko lililotolewa na Chancellor Fr. Vincent Mpwaji wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, japokuwa kisa hakijatajwa lakini hizi ndiyo taarifa za uhakika kutoka katika kanisa hilo, jisomee mwenyewe uone Inasomeka hivi... Waheshimiwa Mapadre Wote, Jimbo Kuu la Dar es...
  12. JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

    Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi Machi 2023. Nchi zetu hususan Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Fahamu ushoga na usagaji ulivyo na unavyozidi kuenea nchini, sababu na athari zake katika jamii

    Leo tunakutana tena kuzungumzia jambo ambalo si geni kwenye maskio ya walio wengi japo halifahamik sana chanzo,sababu na athari zake kwa jamii. Tuondoe dhana ya kusema kuongelea dhambi ni kufanya dhambi na haifai na kujiweka nyuma katika kufatilia mambo kama haya ndio chanzo kingine cha huu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uboreshaji wa Elimu nchini Tanzania

    UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA Kwa miaka ya hivi karibuni utolewaji wa elimu nchini ya Tanzania umeimarika sana ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo serikali na taasisi binafsi zinapigania vyema katika namna ya kuboresha miundombinu ya kielimu ili kutoa elimu bora ambayo inaenda sambamba na na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Nchini DRC ni Utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi kwa vitendo

    Tumeona Mtanzania Brigedia Jenerali Juma Nkangaa akiidhinishwa kuongoza Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC kama Mkurugenzi. Hatua hii inatokana na juhudi za serikali ya Rais Samia kuendelea kushirikiana na mataifa mengine kikamilifu katika nyanja zote muhimu. Licha ya mikutano ya SADC...
  16. JamiiForums Tanzania Hatua zilizochukuliwa na Serikali kudhibiti mfumuko wa bei nchini

    Tathmini zinaonyesha kwamba kuna uhimilivu mkubwa wa bei kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, huku hatua kadhaa zikichukuliwa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kupunguza athari zitokanazo na kupanda kwake kwa wananchi. Serikali ya awamu ya sita imefanya jitihada...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kilio cha madereva pale bandarini wanaosubiri kuchukua magari yaliyoingizwa nchini yakielekea nchi jirani

    Habarini wakubwa na wadogo humu ndani. Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha. Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji...
  19. JamiiForums Tanzania Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

    Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York. Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini

    UTANGULIZI: Chuo kikuu ni ngazi ya juu zaidi ya elimu nchini tanzania na duniani kwa ujumla ambayo inamuwezesha mwanafunzi(Mwanachuo) kupata maarifa na ujuzi maalumu. Mfano;Udaktari, Ualimu, Sheria, Masuala ya uchumi na biashara, Masuala ya habari, na mengine mengi yatolewayo vyuoni. MJADALA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…