nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

    Hapo vip!! Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika. Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Habari Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile, ▶️CAUSTIC SODA ▶️HYDROGEN PEROXIDE ▶️SULPHURIC ▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa) ▶️SODIUM CYNIDE ▶️SULPHONIC ▶️CAUSTIC SODA ▶️NITRIC ACID ▶️FORMALINE ▶️SODA ASH ▶️CMC (sodium methyl cellulose) ▶️SODA ASH ▪️TITANIUM DIOXIDE...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

    Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Bunge nchini Ghana kuchunguza matumizi ya Trilioni 3.5 za COVID-19

    Wabunge wameidhinisha mpango wa kuchunguza matumizi ya Tsh. Trilioni 3.5 zilizotengwa kudhibiti kuenea kwa COVID19 na kuwaokoa raia dhidi ya athari za kiuchumi za janga hilo kufuatia madai ya kutofautiana kwa stakabadhi za malipo yaliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Ken Ofori-Atta...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua takriban watu 1500 nchini Afghanistan

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya figo yanakua kwa kasi Nchini Tanzania, sasa ni 6%

    Imeeleza kuwa matatizo ya magonjwa ya figo ni tatizo la Kidunia kwa kuwa takwimu za magonjw aya figo ni 10% wakati ndani ya Tanzania takwimu za nchi ni 6% Serikali inajipanga katika mambo mengi, kwanza ni kutoa elimu ya afya mfano kula na mazoezi, pili kuna usalama wa chakula na usalama wa...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Takriban watu 45 wadaiwa kufariki kwa mafuriko nchini Bangladesh

    Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja inadaiwa kusababisha mafuriko makubwa ambayo yameacha mamilioni ya watu bila makazi Inaelezwa kuwa baadhi ya shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa waathirika ambao vijiji vyao vimefurika baada ya mito kupasuka kingo, huku wanajeshi wakiendeleza...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  9. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya sets inaharibu elimu nchini

    Miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mitihani ya sets kwa madarasa ya mitihani. Mitihani hii inaonekana kuwa ndo suluhu ya kufelisha watoto kwenye mitihani ya kitaifa, walianza taasisi binafsi na hivi karibuni shule za serikali zimefuata. Tatizo la hii mitihani, imejikita kubahatisha maeneo...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China yafunguliwa jana, ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani duniani

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

  13. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
  14. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watu 10,000 wakimbia makazi yao kisa machafuko Nchini Msumbiji

    Watu 7 wameuawa katika machafuko ambayo inaelezwa yanahusisha Wanamgambo katika eneo la Kaskazini mwa Msumbiji. Umoja wa Mataifa (UN) umesema watu 10,000 wamekimbia. Machafuko hayo yametokea eneo la Cabo Delgado lenye gesi ambako Wanamgambo hao walianzisha uasi tangu mwaka wa 2017 na tangu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Mabaki ya kale 13,000 yafukuliwa Sanxingdui nchini China

    Mabaki ya kale 13,000 ya kitamaduni yamegunduliwa kutoka katika mashimo sita kwenye eneo jipya la kazi ya ufukuaji katika eneo la mabaki ya kale la Sanxingdui nchini China. Taasisi ya Utafiti wa Mabaki ya Kale na Akiolojia ya Mkoa wa Sichuan ilitangaza hayo katika mkutano wake na wanahabari...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watu 87 hawajulikani walipo baada ya Mafuriko ya Mwezi Aprili nchini Afrika Kusini

    Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi, yaliyosababishwa na mvua kubwa ya mwezi Aprili imefikia 461 huku watu 90 bado hawajulikani walipo miezi miwili baada ya mafuriko mabaya zaidi kuukumba mji wa Durban Waziri Mkuu wa serikali ya jimbo la KwaZulu-Natal kusini...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wahisani Wachina watoa matumaini kwa vijana wanafunzi kwenye makazi ya mabanda nchini Kenya

    Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi. Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena ashiriki ufungaji zoezi ushirikiano imara Nchini Uganda

    Waziri akiwasili kwa ajili ya kuongea na wawakilishi wa Tanzania walioshiriki Zoezi la Ushirikiano Imara. WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki hafla ya ufungaji wa zoezi la kimedani la ‘Ushirikiano Imara’ lililofanyika Jinja Nchini Uganda...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa

    Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi. Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
Back
Top Bottom