DRC: Balozi wa Rwanda apewa saa 48 za kuondoka Nchini humo

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara

Uamuzi wa kumfukuza Karega unatarajiwa kuzua zaidi mvutano kati ya Nchi hizo Mbili ambazo uhusiano wao umekumbwa na misukosuko kwa miongo kadhaa
….

DR Congo expels Rwandan ambassador as M23 rebels seize towns

Kinshasa orders Ambassador Vincent Karega to leave the country within 48 hours after accusing Kigali of supporting M23 rebels.

DR Congo has repeatedly accused Rwanda of backing the rebels, an allegation Rwanda has repeatedly denied.

The Democratic Republic of the Congo’s government has ordered Rwandan Ambassador Vincent Karega to leave the country within 48 hours after accusing Kigali of supporting M23 rebels, who have seized two towns in the DRC’s east, raising tensions between the two countries.

Saturday’s announcement by government spokesman Patrick Muyaya came after a meeting of the defence council, presided over by President Felix Tshisekedi, in the wake of rebels seizing control of Kiwanja and Rutshuru in the province of North Kivu.

DR Congo has repeatedly accused Rwanda of backing the rebels, an allegation Rwanda has repeatedly denied. The decision to expel Karega is expected to further ratchet up tensions between the two countries whose relations have been fraught for decades.

Source: Al Jazeera
 
Kuanzia wk inayoanza kesho nahisi kuna vita vitafumka kati ya R na C inawezekana hata ule ujio wa "FT" Tized ulikuwa na maana hiyo atapigwa mtu hata amini.
 
Na tunaofuatilia kwa ukaribu sana Kinachoendelea tunajua kuwa pia kuna Msaada wa Kijeshi ( ila unafanywa Kisirisiri ) Ili Kuipiga Rwanda.

Naionya hiyo nchi Kiherehere Afrika Mashariki kuwa lisifanye hivyo bali lijikite zaidi katika Kutatua huu Mgogoro vinginevyo nayo itakumbukana na kile isichokitegemea kutoka kwa Manguli, Mafundi na Wababe wa Vita vya Kiuweledi Taifa la Rwanda.

Nimemaliza.
 
Huyo ushuzi atakuwa disolved mwisho wake umewadia atapigwa North,South,East and West atapondwa haswaa atajuta.
 
Na tunaofuatilia kwa ukaribu sana Kinachoendelea tunajua kuwa pia kuna Msaada wa Kijeshi ( ila unafanywa Kisirisiri ) Ili Kuipiga Rwanda.

Naionya hiyo nchi Kiherehere Afrika Mashariki kuwa lisifanye hivyo bali lijikite zaidi katika Kutatua huu Mgogoro vinginevyo nayo itakumbukana na kile isichokitegemea kutoka kwa Manguli, Mafundi na Wababe wa Vita vya Kiuweledi Taifa la Rwanda.

Nimemaliza.

Huyu Paka akipelekewa kikosi kimoja kinamtosha.
 
Na tunaofuatilia kwa ukaribu sana Kinachoendelea tunajua kuwa pia kuna Msaada wa Kijeshi ( ila unafanywa Kisirisiri ) Ili Kuipiga Rwanda.

Naionya hiyo nchi Kiherehere Afrika Mashariki kuwa lisifanye hivyo bali lijikite zaidi katika Kutatua huu Mgogoro vinginevyo nayo itakumbukana na kile isichokitegemea kutoka kwa Manguli, Mafundi na Wababe wa Vita vya Kiuweledi Taifa la Rwanda.

Nimemaliza.
Unatumia fake ID na bado huna guts hata za kuitaja hiyo Nchi kama kweli unajiamini na hiyo mikwara yako.
 
Sasa kama DRC kila wakati anawatuhumu M23 ni kutoka kwa Mr Slim sasa kwanini haonyeshi ubabe zaidi ya hapo ya kumuondoa tu Balozi?

Nchi kubwa namna hiyo bora ingekatwa katwa tu au hatuna akili mpaka mzungu aseme
Hili ni wazo kutoka kwa watu ambao hawakufaidika na mkopo wa elimu ya juu. Yaani una deni lakibni hukuifaidi elimu.
 
Back
Top Bottom