nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Kanisa katoliki nchini Tanzania huenda likajitenga na serikali

    Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa tamko rasmi kabla Damu za watanzania zilozamwagwa na CCM hazijapoa.
  2. M

    Day 3: Wananchi Mafinga (Iringa) waandamana kupinga kinachoendelea nchini

    Hali iko hivi huko Mafinga. Wananchi wamejitokeza kushiriki maandamano
  3. GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  4. S

    Hivi sasa karudi nchini kwake. Ninakushangaa wewe mtanganyika unayesurubu watanganyika wenzako kwasababu yake

    Amerudi nchini kwake rasmi na atamalizia kampeni zake huko. Halafu wewe mtanganyika umebaki nchini kwako ukiwapiga ndugu zako watanganyika kwasabb ya kulinda madaraka "yake". Hebu tuweni na uchungu wenye wivu juu ya nchi yetu Tanganyika ili waifaidi watanganyika. Sisi tumegeuzwa mateka na mtu...
  5. Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  6. Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  7. JD Vance Akiwa nchini Israel

    JD Vance yuko njiani kuelekea kituo cha kijeshi cha Marekani huko Kiryat Gat,Israel.
  8. Tumefika Salama Bondo Nchini Kenya kumzika Baba

    Salaam, Pamoja na pukurukushani za Polisi na uhamiaji kutukamata na kuzuia Mipaka tusiende Kenya, Walio wengi tumefanikiwa kufika Bondo, Kaunti ya Siaya Nchini Kenya kuhudhuria Mazishi Pia tutarudi salama muda tunaotaka iwe mchana au usiku. Kwa kutumia Boti, Boda au Gari.. Haikuwa kazi...
  9. Z

    Ufisadi unavyopangwa na Wizara wakati wa bajeti. Hii BYD nani dealer hapa nchini??

    Kuna wakati ilitangazwa kwamba serikali imeondoa kodi kwenye fire extinguisher. Kuna wakati ikatangazwa kuondoa kodi kwenye mafuta ya kula ambayo hayakusafishwa. Bajti hii iliyosomwa imeondoa kodi kwenye magari ya umeme. Ukiangalia kila tangazo la aina hiyo linafuatana na biashara ya mtu fulani...
  10. Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  11. Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  12. GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
  13. Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  14. R

    GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

    Ni hilo tu! Shujaa mfu! Ilibidi uhakikishe hufi mpaka uone mwisho wa mapambano yako! SHUJAA MFU, HAIJATUSAIDIA
  15. L

    Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  16. Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  17. R

    Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  18. Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  19. Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

    Nauliza si kwa ubaya. Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi. Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea. Nini kipo nyuma...
  20. Kama Polepole alikuwa nchini miezi yote hiyo tangu alipojiuzulu, Intelijensia za Polisi na TISS zinanipa mashaka

    Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka. Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!! NB: Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…