Paketi za sigara nchini Mexico zinakupa warning kibabe sana!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,361
Reaction score
103,760
Sio kama kwetu paketi za Sigara zinaurembo urembo.
IMG_6736.png
IMG_6737.jpeg

Wenzetu wanaweka picha za watu wako ICU, panya wamekufa, yaan fujo tu.

IMG_6730.jpeg
IMG_6732.jpeg
IMG_6734.jpeg
 
Enzi za ujana Marlboro was my favourite Cigar. Ukiachana na Embasy(hii tulikuwa tunaiita ubalozi) rafiki yake Newport, Goldleaf na WhiteHorse Namshukuru Mungu Niliweza kuacha sigara but kwa mbinde sana wavutaji wanaelewa ninachozungumza!
 
Ingekuwa sigara pekee ndo kisababishi cha kifo ingeogopesha watu. Mtu anapanda bodaboda kwenda kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa ajali ya bodaboda. Wengine wanatogozana kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa umeme.
 
Enzi za ujana Marlboro was my favourite Cigar. Ukiachana na Embasy(hii tulikuwa tunaiita ubalozi) rafiki yake Newport, Goldleaf na WhiteHorse Namshukuru Mungu Niliweza kuacha sigara but kwa mbinde sana wavutaji wanaelewa ninachozungumza!
Hiv hizo taka taka huwa mnavutaje ? Kuna siku niliwaka na tungi nikajaribu vuta nilikohoa mwezi mzima na macho ya kawa mekundu🚮🚮
 
Maisha ya mwanaume hayana thamani meku. Punda Afe Nyumbani Wale.Throwback nachakata jasho kwenye mradi wa bepari Sigara,maziwa fresh na vitu vingine vidogovidogo ilikuwa ni bure Marlboro unavuta Tani yako Gold leaf Imetulia sana ile kitu. Shughuli ilikuwa kuja kuacha Noma sana. Sometimes Mazingira unayoishi yanachangia.
 
Mangi mimi masigara nilivuta mara moja sikuona stimu yake , bangi nayo nilivuta nikaona miyeyusho tu , shindo sha mbare kapsa🤣
 
Back
Top Bottom