nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣 Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, kama mapato yameongezeka awamu hii, hawa DP World wanafanya nini nchini

    Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari. Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya mafanikio. Kikubwa alisema kuwa mapato ya serikali yameongezeka maradufu kuliko awamu zote...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna na hatatokea dancer mkali nchini Congo kumzidi Bouro Mpela

    Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide. Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza kuongeza zaidi
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Habari zenu Wakuu, Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha. Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
  5. JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi aliyofunguliwa na Promota

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi yake ya madai inayomkabili kufuatia pingamizi lake aliloliweka katika kesi hiyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion kutupiliwa mbali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na kukosa mashiko kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kansela wa Ujerumani nchini China yaonyesha juhudi za Ujerumani kurejesha uhusiano wa awali wa na China

    Konsela wa Ujerumani Olaf Scholz hivi karibuni alifanya ziara nchini China ambapo alitembelea Manispaa ya Chingqing, ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika ziara hiyo ya siku tatu. Hii ilikuwa ziara ya pili ya Scholz nchini China tangu ashike wadhifa huo, ziara ambayo inaleta ishara nzuri...
  7. JamiiForums Tanzania Makombora mengi ya Iran yatua na yapiga vituo vya kijeshi nchini Israel

    licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
  8. JamiiForums Tanzania Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024 Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Unadhani uchumi utakua endapo bidhaa inayozarishwa nchini inakodi kubwa na ile inayotoka nje free tax?

    Tunadanganyan sana ikifika swala hili,nikazi kwa uchumi wa nchi kukua kama bidhaa inayozarishwa nchini iko juu kifedha kulinganisha na ile inayoingia kutoka nje. KWANINI- Sababu bidhaa ya ndani ikipelekwa nje inaenda kuuzwa kwa dollar hivyo kuongeza mzunguko wa fedha za kigeni nchini kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu haliya mvua na maafa ya mafuriko nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA MVUA NA MAAFA YA MAFURIKO NCHINI
  12. JamiiForums Tanzania Balozi Saidi Othman Yakub ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Comoro

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake. Uteuzi huu unaanza mara moja.
  13. JamiiForums Tanzania Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 28 wamepoteza Maisha kutokana na mvua Morogoro, nyumba 1,035 zimebomolewa

  15. JamiiForums Tanzania Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

    Kijana wa leo akisikia mieleka anaweza kudhani ni mchezo unaochezwa tu huko marekani na akina John Cena, The Undertaker, CM Punk n.k. Nipo hapa kukujuza kuwa huo mchezo ulikuwa moja ya michezo maarufu hapa nchini miaka ya nyuma (hadi kufikia miaka ya tisini hivi). Mchezo ulichezwa kwenye...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yadhamini kongamano la wanafunzi vyuo vikuu nchini (AIESEC)

    Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning And Development) wa Barrick Tanzania, Elly Shimbi akiongea na Wanafunzi wa Vyuo vikuu wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo wa kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza vipaji vya uongozi kwa vijana...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari dhidi ya watutsi nchini Rwanda

    Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994. kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Ulaya, Amerika na Asia wakiongozwa na Rais Paul Kagame. Ishara ya kuanza kwa kumbukumbu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Jumaa Aweso asisitiza Mamlaka za Maji nchini, kufunga mita za malipo ya kabla

    WAZIRI AWESO ASISITIZA UTEKELEZAJI AGIZO LA RAIS KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI Ahimiza ufungaji wa mita za malipo ya kabla Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza Mamlaka za Maji Nchini ikiwemo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha agizo la Mhe...
  20. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa bomu la gari wadaiwa kutokea nchini Israel

    Wanaukumbi. MLIPUKO KATIKA ISRAEL Ripoti zinaibuka kuhusu mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye gari kwenye makutano ya Dove Haz katika makazi ya Bat Yam. Maelezo bado yanaendelea, na hali inaendelea. Watu wana test mitambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…