nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026 kufanyika leo mchana nchini Tanzania

    Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali. Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv. Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ladha pekee iliyobaki nchini

    Kwa sasa, hii nchi yetu ya umoja ni nguvu haina ladha tena kwenye mambo mengine. kwa mimi binafsi sasa labda habari za soka pekee kwa hapa kisiwa cha AMANI Zilizobaki zote naona siwezi kufatilia namaanisha zote,iwe politics, uchumi, teknolojia nk. Mungu atufumbue wabantu bado tuna safari ndefu...
  4. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kwa Yanayoendelea Nchini Tanzania ni Chawa Ambaye Hawezi Kushtuka

    Hili jambo lilianza kama mzaa vile lakini naona linaendelea kuota mizizi Zamani ilikuwa mtu akiaga Dunia watu hukutana uweka tofauti zao pembeni Kisha hufarijiana ,hula chakula pamoja na kumuombea marehemu pumziko la aman Lakini kwa Tanzania mambo yameanza kuwa ndivyo sivyo nyakati hizi...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe: Ugonjwa wa Vikope umetokomezwa kwenye Halmashauri 64 nchini

    Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri 64 nchini. Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe ameyasema hayo Agosti 4, 2025, mara baada...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Videos: Vurugu za wanaCCM kwenye zoezi la uteuzi wa wagombea ubunge sehemu mbalimbali nchini

    Chama kimekatika na hakuna wa kukemea. Tararibu zimekiukwa kila mahali Kuna uwezekano wa watu zaidi kuumizwa na mali zaidi kuharibiwa.
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inatetemesha na kuogopesha : Mh Polepole asema yanayoendelea Nchini ukiwemo Utekaji na maumivu mengineyo yanatoka Kundi la Wanamtandao!!

    Wakuu Mambo mazito sana !!. Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa kila zahanati nchini ina CT scan kama Wassira anavyosema?

    Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yaanza mchakato wa upandikizaji wa moyo nchini

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi maandalizi ya kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo, hatua hiyo imeelezwa kuwa inatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya huduma za juu za moyo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Akizungumza Julai 30, 2025 kuelekea...
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  12. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Mimba bandia zaingia nchini

    Haya wanawake muda WA kupiga hela huu Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome Kuna ya miezi mitatu Miezi sita Miezi Tisa etc Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
  13. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Jafo awazuia Raia wa kigeni kufanya baadhi ya Biashara Nchini

    Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es Salaam, na hata masokoni ya mikoani. Wengi wamehoji namna wageni hawa wanavyoingia sokoni kwa nguvu...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Watu wa kimara mjitahidi kutunza mwendo kasi hizi zikifika nchini

    https://youtu.be/_9wsgnE2KJg
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  18. Background Check

    JamiiForums Tanzania Maneno haya si mageni nchini

    Maneno haya pengine siyo mageni sana kwako "The one who got you here won't get you to the next level" yanabeba maana ya kina katika muktadha wa maendeleo ya mtu binafsi, kazi, uongozi au mafanikio kwa ujumla. Tafsiri yake ya moja kwa moja ni: "Yule aliyekufikisha hapa, hawezi kukufikisha ngazi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wasifu kamili CV ya Shehe maarufu nchini Kipozeo

    Amebobea kwenye eneo gani hasa? Karibuni
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini...
Back
Top Bottom