Hakika bado sijaona, wengi watakuja na kuondoka ila huyu mzee yupo intact.
Powerful kwa maana ya ushawishi na control kwenye siasa za nchi (shot caller)
Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo...
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka katika Tovuti ya StatCounter iliyotolewa leo July 13, 2025, Mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya meta Umetoa Mialiko ya Watumiaji wa Tanzania zaidi ya 64,915 kujiunga na Programu yao Mpya inayoitwa "Content Monetisation" ambapo Mwenye Account ataweza...
Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani.
Baada ya barua ya...
Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
"He killed my ma, he killed my pa, but I will vote for him.".... kwa tafsiri isiyo rasmi inamaanisha "Alimuua mama yangu, alimuua baba yangu, lakini nitampigia kura"
Hiyo ni kauli maarufu ya wapiga kura wa Liberia hasa vijana waliokuwa wakimuunga mkono dikteta Charles Taylor mwaka 1997 kwenye...
Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
Utendaji wa shirika la reli nchini hususani treni za kutoka na kuelekea mikoa ya Dodoma, Tabora na Kigoma limekua linakatisha tamaa kutokana na huduma zake za kubabaisha treni halina muda maalumu wa kutoka pia hakuna muda maalum wa kusimama vituo vikubwa ,lugha ya uongo kutoka kwa waongozaji wa...
Timu ya taifa ya wanawake Twiga stars wamepoteza mechi yao kwanza katika mashindano ya kombe la mataifa Afrika kwa wanawake yaani WAFCON dhidi Mali kwa goli 1-0
Swali langu ni fupi sana,
Hivi ni Mikoa gani ambayo inaongoza kuwa na wakazi wengi wanaoishi na virusi vya UKIMWI ? ukitaja top 3 inatosha.
Lakini usitaje tu kwasababu unachuki na watu wa Mkoa fulani, bali taja kutokana na research ambayo ilifanyika / imefanywa na Idara fulani.
Wapentekoste waliingia Tanganyika zamani sana miaka ya kati ya 1900's. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) walianza kuwepo Tanzania mwaka 1932, hata hivyo hawakuweza kupata mafanikio makubwa mpaka miaka ya mwishoni ya 1980 na mwanzoni miaka ya 1990. Walipoanza kuingia kwa nguvu katika...
Wanadai maisha ya Iran ni cheap sana, ukiondoka na 1 milion TZS unaishi mwaka mzima bila shida kabisa.
Wanasema 2500 ni sawa na pesa za Iran rial 100 ambapo lita moja ya mafuta ya gari ni rial 3. hivyo yani kwa 2500 za kibongo karibu unapata rita 33 za mafuta.
Wanasema iran wana mitandao yao...
Bunge la Kitaifa linaloungwa mkono na serikali ya Venezuela limemtangaza Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Volker Turk kuwa mtu asiyetakiwa nchini humo
Hatua ya Venezuela inafuatia ripoti ya karibuni ya ofisi ya Turk kuelezea kuendelea kuzorota kwa haki nchini humo.
Turk...
Utangulizi
Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa ubunifu huu ni kuibuka kwa huduma za mkopo wa dharura kupitia simu za mkononi, zinazojulikana kwa...
Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi.
Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani ya Urusi ilipogonga - jengo la ghorofa nyingi, Meya wa Odessa Gennady Trukhanov aliripoti...
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.
Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.