nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yaanza mchakato wa upandikizaji wa moyo nchini

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi maandalizi ya kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo, hatua hiyo imeelezwa kuwa inatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya huduma za juu za moyo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Akizungumza Julai 30, 2025 kuelekea...
  2. Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  3. Mimba bandia zaingia nchini

    Haya wanawake muda WA kupiga hela huu Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome Kuna ya miezi mitatu Miezi sita Miezi Tisa etc Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
  4. Jafo awazuia Raia wa kigeni kufanya baadhi ya Biashara Nchini

    Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es Salaam, na hata masokoni ya mikoani. Wengi wamehoji namna wageni hawa wanavyoingia sokoni kwa nguvu...
  5. Watu wa kimara mjitahidi kutunza mwendo kasi hizi zikifika nchini

    https://youtu.be/_9wsgnE2KJg
  6. Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  7. M

    Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  8. Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  9. Maneno haya si mageni nchini

    Maneno haya pengine siyo mageni sana kwako "The one who got you here won't get you to the next level" yanabeba maana ya kina katika muktadha wa maendeleo ya mtu binafsi, kazi, uongozi au mafanikio kwa ujumla. Tafsiri yake ya moja kwa moja ni: "Yule aliyekufikisha hapa, hawezi kukufikisha ngazi...
  10. U

    Naomba kujua wasifu kamili CV ya Shehe maarufu nchini Kipozeo

    Amebobea kwenye eneo gani hasa? Karibuni
  11. Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini...
  12. GE2025 Tuongee tu ukweli, Humphrey Polepole kabadilisha kabisa upepo wa kisiasa nchini

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza Kawafanya watanzania wote wamuone mama kizimkazi kama kibaka Yaan huo ndo ukweli hata wale kobazi wachache ambao...
  13. James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  14. Ugonjwa wa Mpox watua nchini Kenya. Kesi 226 zaripotiwa

    Wakuu, Ugonjwa wa Mpox wasambaa Magharibi mwa Kenya Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega zimeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox, unaosababishwa na virusi. Busia ni ya pili kwa athari nchini Kenya, ikiwa na maambukizi 56 yaliyothibitishwa, wagonjwa wawili wamelazwa, wanane wanatibiwa...
  15. Wizi wa mtandao watikisa, benki 7 nchini zapoteza Sh bilioni 150

    DAR. Watu wanaotajwa kuwa wezi mtandaoni kutoka ndani na nje ya nchi, wameiba zaidi ya Dola za Marekani milioni 49 sawa na takribani Sh bilioni 150 kupitia mtandao wa benki kubwa saba nchini gazeti la Raia Mwema limeeleza. Tayari Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, imekamata baadhi...
  16. Video: Mambo muhimu aliyofanya Hayati Benjamin Mkapa kuimarisha Demokrasia nchini

    Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania, aliweka mkazo katika mambo sita (6), yafuatayo; ‬ ‪1. Lengo la demokrasia ni kurejesha nguvu na madaraka kwa wananchi kutoka katika mikono ya watawala.. ‬ ‪2. Demokrasia ya uwakilishi inatakiwa kutupatia viongozi wanaoamua kwa niaba yetu na...
  17. Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
  18. Kampuni kubwa zaidi ya Madini Duniani yaachana na mradi wa Nickel wa dola bilioni 2.5 nchini Tanzania

    Kampuni kubwa zaidi ya uchimbaji madini duniani, BHP Group (BHP.AX), imeamua kuuza hisa zake kwenye mradi wa nikeli wa Kabanga uliopo nchini Tanzania kwa mshirika wake, Lifezone Metals (LZM.N). Mradi huo una thamani ya takribani dola bilioni 2.5, na Lifezone imethibitisha kuwa itanunua hisa hizo...
  19. Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini

    Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
  20. Je wajua kwa nini mkoa wa Tanga ni wa 3 kwa kuwana maghorofa mengi nchini?

    Mkoa wa Tanga unechanganya tamaduni za kizunguna kiarabu ambazo zimeathiri architec ya majengi yake Waarabu walikaa sana mwambao wa Tanga kuanzia Pangani mpaka Tanga mjini,huko kote waliacha majengo ya ghorofa, Ukija wilaya za handeni,korogwe na Lushoto,mjerumani alipapenda sana na kuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…