nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

    Ni hilo tu! Shujaa mfu! Ilibidi uhakikishe hufi mpaka uone mwisho wa mapambano yako! SHUJAA MFU, HAIJATUSAIDIA
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  5. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

    Nauliza si kwa ubaya. Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi. Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea. Nini kipo nyuma...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Polepole alikuwa nchini miezi yote hiyo tangu alipojiuzulu, Intelijensia za Polisi na TISS zinanipa mashaka

    Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka. Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!! NB: Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
  8. JamiiForums Tanzania Sidhani afande Tesha yuko nchini

    Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini. Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga. Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
  9. JamiiForums Tanzania Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Copper Cathodes trader nchini genuine supplier ?

    Msaada anaefahamu supplier au trader wa Copper Cathode nchini
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Kisenge: Wastani wa Watoto 10,000 huzaliwa nchini wakiwa na matatizo ya moyo kila mwaka

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeongeza siku mbili zaidi za upimaji bure wa afya ya moyo, hatua iliyochukuliwa kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kujitokeza kupima na kupata ushauri wa kitabibu katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Peter Kisenge...
  13. JamiiForums Tanzania Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  15. S

    JamiiForums Tanzania MTanzania Badru Hamisi apandishwa kwenye mahakama ya kijeshi nchini Somalia.

    Kuna Mtanzania amekamatwa somalia kwa tuhuma ya kujihusisha na kundi la Al shabaab.Amepandishwa kwenye mahakama ya kijeshi siku ya jana na endapo mahakama ikijirizisha ndugu yetu huyu huenda atapewa adhabu ya kuuliwa.
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Si Kweli Kuwa Osmane Dembele ametembelea Nchini Mali

    Kumekuwa na Picha Ambayo Inasambaa Kwenye Mtandao Wa Kijamii Ususani Facebook ikimuonesha Mshambuliaji Wa Psg Osmane Dembele Akiwa Pamoja Na Familia Yake Nchini Mali Baada ya Kuwa Ameshinda Tuzo ya Balloon Dor
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

    Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana, Ili ni funzo mnielewe Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi Ndo unajitapa uliwarejesha nchini? Nani hasiye...
  18. JamiiForums Tanzania Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini?

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
  19. JamiiForums Tanzania Lissu aondoke nchini

    Hiyo ni dili. Lissu aondoke nchini. With all due respect, Chadema, what is wrong with that? Lissu aondoke, Chadema ibadilishe mgombea urais. CCM wanataka Lissu aondoke. Sijui kwa nini wanataka Lissu aondoke. Lakini wanataka Lissu aondoke. Kama ina maana Chadema watarudi kwenye Uchaguzi,hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mamlaka kumchunguza Wicknell Chivayokwa Kesi za Rushwa na Ufisadi

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi katika miradi aliyoifanya na Serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ZACC, imeeleza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…