nchi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya kitoto toto! Hatuku makini kama zamani

    Tanzania ya sasa sio ile ya zamani. Pamoja na ukuaji wa habari na teknologia kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wengi. Umri wa kati Tanzania ni miaka 19. Tusishangae kuona wasanii wamejaa kwenye mikutano ni kwasababu yangu vijana wadogo. Kijana wa miaka 21 hawezi kujali katiba au kuelewa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea, leo Septemba 28, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi kwenye Kikao cha Baraza la UWT Taifa Ukumbi wa Kanisa la Katoliki Bombambili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 28 Septemba, 2024. https://www.youtube.com/live/QeGkuTfuCOs?si=5KIOMJBOaZ3n3TPG
  3. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

    Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika. My take Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna mwongozo wa jinsi ya kulinufaisha taifa letu kwanza tuwapo nje ya nchi yetu!?

    Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukristo una miaka mingi ila ushawahi kusikia nchi inaitwa "The christian Republic of so and so"?

    Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating. Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu. Lina fukuza watu wasio wa kundi lao katika jamii zao ila jamii zao ziikishia kupata kash kash ziletazwo na watu wa kundi lao...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!! NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapendekeza adhabu gani kwa mtu ambae ni msaliti wa Nchi ?

    Hakuna Nchi ambayo hakuna wasaliti na Tunaishi nao na kila nchi ina namna ya kudeal nayo . CDM mnapendekeza adhabu ? Maana nyie ndio watu ambao huwa hamfikirishi ubongo ni kulaumu tu
  10. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

    Gazeti la the Guardian la Uingereza limeandika mwendelezo wa mgogoro wa ajira kati ya kampuni mama ya Tigo na mfanyakazi wao kutokana na kufukuzwa bila kufuata sheria kwa mfanyakazi huyo. Utetezi wa mfanyakazi umeegemea kwenye hoja kuwa hakupendezwa na kitendo cha Tigo uipa serikali mwenendo...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  13. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania CV za Mawaziri wa Afya kutoka nchi baadhi za Afrika

    Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
  14. Felix Mwakyembe

    JamiiForums Tanzania Climate finance; kitanzi cha nchi masikini katika sura ya ufadhili

    AHADI za fedha kutoka mataifa tajiri kwenda mataifa masikini kwa ajili ya kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ni tamu, lakini kiuhalisia ni mtego wa madeni. Uchambuzi wa kina unabainisha kuwa fedha hizo zinaelekezwa kusikostahili, ambapo nyingi huenda kuchangia...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jokate Mwegelo: Vijana tusitumike kama mgongo kwa wengine kwa maslahi yao kuelekea uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Joketi Mwegelo amewataka vijana wa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo. Akizungumza kwenye ziara ya siku moja akiwa Mkoani Iringa Katibu huyo mbele ya vijana amewataka...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kuacha watu wengi kufuatilia Siasa na Uongozi wa Nchi! Wazindike kwa burudani kama Mipira n.k

    Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti. Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri! Kenya kwenye burudani kama mpira na...
  17. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je una safari ya kwenda nje ya nchi? VISA INTERVIEW QUESTIONS:-

    VISA INTERVIEW QUESTIONS 1. What is the purpose of your visit?: Be prepared to explain the reason for your trip, whether it's for tourism, business, education, or visiting family and friends. 2. Have you visited this country before?: Provide details about any previous visits, including the...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waarabu huwa wanaandamana watu nchi nyingine wakionewa?

    Wakati gani waarabu walishawahi kuandamana kupinga wananchi wa nchi nyingine wasionewe? Wenye kujua nijuzeni.
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

    Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa. Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa. Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wazazi wa kiafrika kuwaandaa watoto ili waje wawasaidie?

    Mpja kwa moja kwenye mada Wazazi wengi wanakomaa kulipa ada kubwa na kujitoa muhanga kiuchumi ili watoto wao wasimame. Kusudi lililojificha nyuma ni ili mtoto wao akifanikiwa awasaidie kimaisha. Wazazi wanavizia mahari za watoto wao wa kike. Wanapambana watoto wa kike waolewe na wenye uwezo ili...
Back
Top Bottom