Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo!
Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki
Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin
Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k
Sehemu hakuna...
Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe.
Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni...
Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe...
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa ushauri kwa Jamii kuwatumia Wazee kupata uzoefu na maarifa huku akiweka msisitizo wa kauli aliyowahi kuambiwa na Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwamba ukitaka ‘Nchi itulie kamata Wazee’ akisema ni muhimu kuwatumia Wazee kwasababu wana maarifa ambayo...
Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana .
Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia kesho Nchi inakwenda kusimama pale ambapo kutakuwa na zoezi la uchukuaji, ujazaji na Urejeshaji wa Fomu za serikali za mitaa katika maandalizi ya uchaguzi utakaofanyika hapo November 27 Mwaka huu.
Ambapo mpaka sasa imeonyesha CCM ikiendelea kuungwa mkono kwa...
NCHI 9 ZASHIRIKI TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Tamasha la 43 la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo limeshirikisha Nchi 9 Duniani pia limetoa fursa za ajira na biashara kwa wananchi wa Bagamoyo na washiriki wa Tamasha hilo...
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi...
Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa itazingatiwa
Wananchi wanapokosa elimu matokeo yake ujinga unatawala katika fikra zao na mwisho wake...
Mnamo tarehe 19 Novemba 2015, katibu mkuu mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na aliyekuwa mgombea urais, Dk. Willibrod Slaa, alitoa kauli kwamba “Chadema wanatekana,” akifichua siri nyingi kuhusu chama hicho.
Kauli ya Dk. Slaa inahusiana moja kwa moja na madai ya kutekwa kwa...
Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo.
Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii.
Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk.
Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
Watanzania wengi (Waafrika) mindset zetu kuna namna bado haziko huru yaani bado zinatawaliwa na watu wachache hasa mataifa yaliyoendelea. Inawezekana nitakuwa natumia lugha ngumu kama nikisema tuna colonised mind. Ndio ni maneno makali lakini huo ndio ukweli. Kuna mambo tunashindwa kuyafanya na...
Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
Preamble: Binafsi naamini Free market na Competition ndio inaleta Huduma Bora na Bei rahisi kutokana na kwamba watu wanashindana kugombania wateja. Ingawa kuna mambo ya Huduma naamini kabisa Serikali / State ni muhimu kujikita kinagaubaga.., Mengine yote luxurious hatuna haja ya kuweka Kodi zetu...
Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi?
tumerogwa?
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie timu ya Taifa.
Huu ni wendawazimu, nchi hii ina mambo mengine muhimu zaidi ya mpira, yaani Jumanne...
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
amani
awamu
awamu ya nne
bara
dkt. jakaya mrisho kikwete
duniani
jakaya mrisho kikwete
kikwete
matokeo
mstaafu
nchinchini
nyingi
rais
rais mstaafu
utulivu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.